Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

sijui wataambia nini watu
ila tusha wazoea ndo walivo na tuanaishi nao
 
Tuwekee proof by the Court's verdict kuwa mkulima hajalipwa na asingelipwa kuna watu wana mapepo wangetamba vibaya. Otherwise, acha umbeya wewe dada. Believe me, hiyo ndege tumeinunua ×2.
so you want us to believe you..ok sawa basi tumesha ku believe.. kinachofuata ni nini..sasa
 
sijui wataambia nini watu
ila tusha wazoea ndo walivo na tuanaishi nao
Umejizoesha mwenyewe lakini wenzako wajanja wanajua kuwa Kabudi atajimwambafy kuwahadaa watanzania lakini kitakachosemwa na wapinzani ndicho kitakuwa cha ukweli mtupu.
 
Maoni ni Serikali iache Tabia ya kuharalisha dhuluma kutumia pesa nyingi kukwepa Deni badala ya kulipa Deni
wapi serikali inetumia.pesa nyingi labda tuambie..kama ni kesi wanaoshindwa wanatakiwa kulipa gharama za kesi..upo..mbona haya maneno hukuyasema kipindi cha baba wa Taifa, mzee Mwinyi, cha Mkapa, cha kikwete unakuja kusema leo..au ulikuwa hujazaliwa..usidandie mambo usiyoyajua..s..t..u.pi..d
 
Ndege haikuachiwa bure wamelipa ingawa Kabudi kamuomba mkulima wa kizungu apige kimya ili wapate kujimwambafy wanajua wapo baadhi ya watanzania ni bongo lala watayaamini maneno yake ya uongo.
 
hahahaha ungekuwa ni mmoja wa walipa kodi ningekuelewa..lakini maskini ya Mungu hata hiyo kodi ya serkali tangu uzaliwe hujawah ilipa..wala hujui ina haruf gani..daaa...tutafika kweli na mijitu kama hii inayotumwa na mabwanyenye
 
Kurudi kwa ndege, kama deni limelipwa radhi iombwe kwa kitu gani..??
 
Ndege ilipokamatwa South Africa walitumia pesa nyingi kusafirisha umati kwenda kutoa Rushwa na gharama za kulipana posha malazi chakula, kodi ya maegesho ya Ndege gharama za rubani na wahudumu wao kukaa South Africa kusubiria Ndege iachiwe, na sasa pia wamewatuma watu canada wanalipwa gharama kubwa na mengineyo, usikute wewe ni mnufaika wa sakata hili ndiyo maana unafagilia dhuluma hiyo upate kuendelea kujinufaisha zaidi.
 
Kwamba Kabudi anauzofu na korti za kimataifa? Wakati ni 2009 tu ndo alipewa uwakili wa viti maalumu...
sasa jomba proffessionalism yake ya sheria kama advocate inahusiana vipi na uwakiki wa viti maalum kama unavyosema....yani mijitu mijinga sijui kwanini mliumbwa....khaaaaa
 
hahahaha ungekuwa ni mmoja wa walipa kodi ningekuelewa..lakini maskini ya Mungu hata hiyo kodi ya serkali tangu uzaliwe hujawah ilipa..wala hujui ina haruf gani..daaa...tutafika kweli na mijitu kama hii inayotumwa na mabwanyenye
Jibu hoja...leteni hukumu ya kesi.. ndege kurudi si hoja tosha... deni kulipwa ndege lazima irudi
 
Wazungu wakiwapa misaada CCM huwaita wafadhili lakini hao hao wazungu wakikataa dhuluma za CCM mnawaita mabwenyenye mabeberu.
 
Jibu hoja...leteni hukumu ya kesi.. ndege kurudi si hoja tosha... deni kulipwa ndege lazima irudi
uletewe hukumu ya kesi wewe kama nani..halaf ukishaletewa.....what next..utaifanyia nini...hahahaha mtu hiyo ndege yenyewe hujui ilinunuliwaje..na ililipiwaje。..umekuja kudandia gari kwa mbele.....i wish i could be the IGP..jomba
 
Jibu hoja...leteni hukumu ya kesi.. ndege kurudi si hoja tosha... deni kulipwa ndege lazima irudi

Profesa Kabudi kamuomba Mzungu apige kimya asitoe siri ili Kabudi apate kujimwambafy huko mwanza wafiche Aibu yao.
 
Wazungu wakiwapa misaada CCM huwaita wafadhili lakini hao hao wazungu wakikataa dhuluma za CCM mnawaita mabwenyenye mabeberu.
ccm chama cha wanyonge wewwe..sio kama chenu cha kuweka na kukopa, saccos...dhuluma inatokea wapi sasa..tatizo lenu mnamezeshwa nayinyi mmameza tu bila hata kufikiri
 
uletewe hukumu ya kesi wewe kama nani..halaf ukishaletewa.....what next..utaifanyia nini...hahahaha mtu hiyo ndege yenyewe hujui ilinunuliwaje..na ililipiwaje。..umekuja kudandia gari kwa mbele.....i wish i could be the IGP..jomba

Ushahidi ni Ndege kuachiwa tu, Ndege haikuachiwa bure tambua hilo huo ndiyo ushahidi tosha, Le mutuz acha fujo CCM wataendelea kukulipa usiwe na wasiwasi endelea kuwatetea mitandaoni lakini mjue watanzania siyo wajinga wanajua A-Z
 
Ikikamatwa inatangazwa ikiachiwa inatangazwa vielelezo hakuna sasa .........bado kuna giza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…