minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Ushahidi ni Ndege kuachiwa hivi unadhani Ndege imeachiwa bure?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijui wataambia nini watuNdugu zangu,
Takribani majuma mawili yaliyopita Waziri wa Mambo ya nje Prof.Palamaganda Kabudi aliutaarifu Umma kutokea Dodoma siku ambayo Rais Magufuli alikuwa na kazi ya kikatiba kuwaapisha mabalozi wetu.
Prof.Kabudi alimuelezea rais huku akieleza jinsi ambavyo wananchi wa Tanzania watauchukua ushindi dhidi ya kaburu Stein kwa mara nyingine baada ya ''kumcharaza'' katika mahakama ya Gauteng kule bondeni (Afrika ya kusini).
Aliyekuwa wa kwanza kubeza ni Ndugu Membe huku akiaminisha umma kuwa Prof.Kabudi hatafanikiwa, akishauri kuwa njia pekee ni kumuita mkulima Stein kwenye meza na ''kumlipa chake. Ajizi nyumba ya njaa naye Tundu Lissu na Fatuma Karume wakauvagaa mkenge huku akiwa hawana uzoefu wowote na mashauri katika korti ya kimataifa, walijaribu kuwaapooza wafuasi wao ambao walikuwa wenye hasira nyingi baada ya kushauriwa vibaya kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Bila kuchelewa, wafuasi wa CHADEMA na wanasiasa hao wakaivagaa mitandao huku wakionesha dharau kwa Prof.Kabudi na Watanzania, wakisema Mkulima Stein ni ''kiboko'' wakiowanukuu Lissu,Fatuma na Membe.
Wanasheria wetu wazalendo walinyamaza kimya huku wakiandaa hoja za kumshinda ''Mkulima Stein'' kortini. Kwa hoja zilizotolewa kortini hatimaye siku mbili zilizopita Mahakama ya Canada iliipa Tanzania ushindi kwa mara nyingine tena huku ikiweka ''precedence'' kwa siku zijazo.
Nimalize tu kwa kusema, Hongereni wananchi wazalendo wa Tanzania, Mmeshinda tena!
so you want us to believe you..ok sawa basi tumesha ku believe.. kinachofuata ni nini..sasaTuwekee proof by the Court's verdict kuwa mkulima hajalipwa na asingelipwa kuna watu wana mapepo wangetamba vibaya. Otherwise, acha umbeya wewe dada. Believe me, hiyo ndege tumeinunua ×2.
Umejizoesha mwenyewe lakini wenzako wajanja wanajua kuwa Kabudi atajimwambafy kuwahadaa watanzania lakini kitakachosemwa na wapinzani ndicho kitakuwa cha ukweli mtupu.sijui wataambia nini watu
ila tusha wazoea ndo walivo na tuanaishi nao
wapi serikali inetumia.pesa nyingi labda tuambie..kama ni kesi wanaoshindwa wanatakiwa kulipa gharama za kesi..upo..mbona haya maneno hukuyasema kipindi cha baba wa Taifa, mzee Mwinyi, cha Mkapa, cha kikwete unakuja kusema leo..au ulikuwa hujazaliwa..usidandie mambo usiyoyajua..s..t..u.pi..dMaoni ni Serikali iache Tabia ya kuharalisha dhuluma kutumia pesa nyingi kukwepa Deni badala ya kulipa Deni
Huyu jamaa nilishamuignore kitambo sana. Huwa siwezi kuvumilia upumbavu.Aisee kumbe huwa najadili na mtu mpuuzi kiasi hiki ngoja nikupige ignore list
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha ungekuwa ni mmoja wa walipa kodi ningekuelewa..lakini maskini ya Mungu hata hiyo kodi ya serkali tangu uzaliwe hujawah ilipa..wala hujui ina haruf gani..daaa...tutafika kweli na mijitu kama hii inayotumwa na mabwanyenyeLeteni hati ya hukumu na cost za kesi acheni porojo.
Hati za hukumu za south africa na za canada ziko wapi? kwanini iwe siri wakati ni pesa za walipa kodi?
Mkulima kalipa garama za kesi? za kulala hotel za nyota 5 ujumbe wa kabudi South Na Canada?
Watanzania sio wajinga kiivyo.
Kurudi kwa ndege, kama deni limelipwa radhi iombwe kwa kitu gani..??Ndugu zangu,
Takribani majuma mawili yaliyopita Waziri wa Mambo ya nje Prof.Palamaganda Kabudi aliutaarifu Umma kutokea Dodoma siku ambayo Rais Magufuli alikuwa na kazi ya kikatiba kuwaapisha mabalozi wetu.
Prof.Kabudi alimuelezea rais huku akieleza jinsi ambavyo wananchi wa Tanzania watauchukua ushindi dhidi ya kaburu Stein kwa mara nyingine baada ya ''kumcharaza'' katika mahakama ya Gauteng kule bondeni (Afrika ya kusini).
Aliyekuwa wa kwanza kubeza ni Ndugu Membe huku akiaminisha umma kuwa Prof.Kabudi hatafanikiwa, akishauri kuwa njia pekee ni kumuita mkulima Stein kwenye meza na ''kumlipa chake. Ajizi nyumba ya njaa naye Tundu Lissu na Fatuma Karume wakauvagaa mkenge huku akiwa hawana uzoefu wowote na mashauri katika korti ya kimataifa, walijaribu kuwaapooza wafuasi wao ambao walikuwa wenye hasira nyingi baada ya kushauriwa vibaya kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Bila kuchelewa, wafuasi wa CHADEMA na wanasiasa hao wakaivagaa mitandao huku wakionesha dharau kwa Prof.Kabudi na Watanzania, wakisema Mkulima Stein ni ''kiboko'' wakiowanukuu Lissu,Fatuma na Membe.
Wanasheria wetu wazalendo walinyamaza kimya huku wakiandaa hoja za kumshinda ''Mkulima Stein'' kortini. Kwa hoja zilizotolewa kortini hatimaye siku mbili zilizopita Mahakama ya Canada iliipa Tanzania ushindi kwa mara nyingine tena huku ikiweka ''precedence'' kwa siku zijazo.
Nimalize tu kwa kusema, Hongereni wananchi wazalendo wa Tanzania, Mmeshinda tena!
wapi serikali inetumia.pesa nyingi labda tuambie..kama ni kesi wanaoshindwa wanatakiwa kulipa gharama za kesi..upo..mbona haya maneno hukuyasema kipindi cha baba wa Taifa, mzee Mwinyi, cha Mkapa, cha kikwete unakuja kusema leo..au ulikuwa hujazaliwa..usidandie mambo usiyoyajua..s..t..u.pi..d
sasa jomba proffessionalism yake ya sheria kama advocate inahusiana vipi na uwakiki wa viti maalum kama unavyosema....yani mijitu mijinga sijui kwanini mliumbwa....khaaaaaKwamba Kabudi anauzofu na korti za kimataifa? Wakati ni 2009 tu ndo alipewa uwakili wa viti maalumu...
Jibu hoja...leteni hukumu ya kesi.. ndege kurudi si hoja tosha... deni kulipwa ndege lazima irudihahahaha ungekuwa ni mmoja wa walipa kodi ningekuelewa..lakini maskini ya Mungu hata hiyo kodi ya serkali tangu uzaliwe hujawah ilipa..wala hujui ina haruf gani..daaa...tutafika kweli na mijitu kama hii inayotumwa na mabwanyenye
Wazungu wakiwapa misaada CCM huwaita wafadhili lakini hao hao wazungu wakikataa dhuluma za CCM mnawaita mabwenyenye mabeberu.hahahaha ungekuwa ni mmoja wa walipa kodi ningekuelewa..lakini maskini ya Mungu hata hiyo kodi ya serkali tangu uzaliwe hujawah ilipa..wala hujui ina haruf gani..daaa...tutafika kweli na mijitu kama hii inayotumwa na mabwanyenye
uletewe hukumu ya kesi wewe kama nani..halaf ukishaletewa.....what next..utaifanyia nini...hahahaha mtu hiyo ndege yenyewe hujui ilinunuliwaje..na ililipiwaje。..umekuja kudandia gari kwa mbele.....i wish i could be the IGP..jombaJibu hoja...leteni hukumu ya kesi.. ndege kurudi si hoja tosha... deni kulipwa ndege lazima irudi
Jibu hoja...leteni hukumu ya kesi.. ndege kurudi si hoja tosha... deni kulipwa ndege lazima irudi
Akikujibu njoo uchukuwe buku la soda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu
ccm chama cha wanyonge wewwe..sio kama chenu cha kuweka na kukopa, saccos...dhuluma inatokea wapi sasa..tatizo lenu mnamezeshwa nayinyi mmameza tu bila hata kufikiriWazungu wakiwapa misaada CCM huwaita wafadhili lakini hao hao wazungu wakikataa dhuluma za CCM mnawaita mabwenyenye mabeberu.
[emoji1787][emoji1787]Tuwekee proof by the Court's verdict kuwa mkulima hajalipwa na asingelipwa kuna watu wana mapepo wangetamba vibaya. Otherwise, acha umbeya wewe dada. Believe me, hiyo ndege tumeinunua ×2.
uletewe hukumu ya kesi wewe kama nani..halaf ukishaletewa.....what next..utaifanyia nini...hahahaha mtu hiyo ndege yenyewe hujui ilinunuliwaje..na ililipiwaje。..umekuja kudandia gari kwa mbele.....i wish i could be the IGP..jomba
Ikikamatwa inatangazwa ikiachiwa inatangazwa vielelezo hakuna sasa .........bado kuna gizaLeteni hati ya hukumu na cost za kesi acheni porojo.