ndio atuletee risiti tuthibitishe kama analipa kodi kweli. mbona sisi tutadai taarifa ya ndege.kama vile sijui tutaipeleka.wapi
Awamu zote deni la mkulima walilipa... awamu hii wakagoma na wakamtimua nchini.... UNATEGEMEA NINI..??
BY THE WAY... hivi kwa mtazamo wako, mkulima ana haki au hana ya kulipwa deni?
Huyu ya LUKU inamtosha au ya DSTV inamtosha .... zote zina VATWewe lete risti ya hizo pesa haramu unazolipwa na CCM kwa ajili ya kutengeneza propaganda za kuwahadaa bongo lala
Ha ha ha haHuyu ya LUKU inamtosha au ya DSTV inamtosha .... zote zina VAT
Kamanda minyoo tulia acha pupaMzungu kalipwa kimya kimya kaombwa akae kimya maana kabudi anajua Siri ikivuja atakosa kujimwambafy kama kawaida yake
Maumivu uliyonayo ni makubwa kuliko SteynMaoni ni Serikali iache Tabia ya kuharalisha dhuluma kutumia pesa nyingi kukwepa Deni badala ya kulipa Deni
Kamanda niwekee namba yako inbobo nikutumie hela ya kulaKama wewe unalipwa na CCM kutengeneza propaganda mbalimbali zikiwemo za kuharalisha dhuluma haramu usifikiri wengine wanaokataa ujinga wenu nao wanalipwa chochote, kukataa ujinga siyo lazima kulipwa na mtu, anayelipwa ni yule anayeamua kutengeneza ujinga kama wewe unavyofanya mara nyingi humu mitandaoni.
Huyu akiambiwa mtu anatipa kodi sijui anawaza nini..... NADHANI ANAFIKIRI VAT SIYO KODI... kila mtu analipa kodi.... na nadhani anajitoa akili kuwa kila bidhaa unayonunua ina KODI... LEO HII NIMENUNUA MABABATI YANA KODI YA 18% VAT otherwise bei ingekuwa chini... bati hizo hizo ningenunua nikiwa BAHRAIN ningelipa bei ndogo maana wao VAT ni 5%....Ha ha ha ha
Mtu aliyeishiwa hoja huandika hivi...
ndio maana ukaitwa minyoo...shida tupu..Wewe lete risti ya hizo pesa haramu unazolipwa na CCM kwa ajili ya kutengeneza propaganda za kuwahadaa bongo lala
Mkuu unapaswa kujifunza kiingereza fasaha na jinsi ya kutumia maneno yake.i.e profession yake ni uwakili na ili uwese kusimama mahakama za kimataifa unatakiwa uwe wakili wa nchi yako kwa kifupi yeye alikua ni mkufunzi tu wa sheria na huo uwakili wa viti maalumu ameupata 2009 baada kua anafeli sana bar exams pia hana uzoefu wowote ule wa kwenye mahakama za kitaifa..hata wa mahakama za ndani maana hakua wakili licha ya kua mkufunzi wa sheria...sasa jomba proffessionalism yake ya sheria kama advocate inahusiana vipi na uwakiki wa viti maalum kama unavyosema....yani mijitu mijinga sijui kwanini mliumbwa....khaaaaa
Ahahahahaaaa Huna hoja... ntakuwekea LUKU na DSTV nilizonunua kwa simu (electronic money) au hata vocha kwa Mpesa, au hata kutuma Mpesa then utaacha kujitoa akili... unadhani hizo transactions hazina VAT?ndio atuletee risiti tuthibitishe kama analipa kodi kweli. mbona sisi tutadai taarifa ya ndege.kama vile sijui tutaipeleka.wapi
weka risiti hapa tuione..vinginevyo hizo bati utakuwa umemwomba asikupe risiti ili ukwepe.kodi unadhani hatujui..weka risiti hapa tuthibitishe..Huyu akiambiwa mtu anatipa kodi sijui anawaza nini..... NADHANI ANAFIKIRI VAT SIYO KODI... kila mtu analipa kodi.... na nadhani anajitoa akili kuwa kila bidhaa unayonunua ina KODI... LEO HII NIMENUNUA MABABATI YANA KODI YA 18% VAT otherwise bei ingekuwa chini... bati hizo hizo ningenunua nikiwa BAHRAIN ningelipa bei ndogo maana wao VAT ni 5%....
Hajui aongeacho huyo... UCHAMA UNAMKABA...
YAANI MKULIMA KUDHULUMIWA HAKI YAKE YEYE ANAONA NI SAWA... UJINGA MTUPU...
Unajitoa akili kaka... unajidhalilisha... DAILY LIFE YENYEWE INA KODI KILA KONA... KILA UNACHOFANYA KINA KODIweka risiti hapa tuione..vinginevyo hizo bati utakuwa umemwomba asikupe risiti ili ukwepe.kodi unadhani hatujui..weka risiti hapa tuthibitishe..
unaweza eleza sababu ya ndege zetu kuachiwa kila zikikamatwaMkuu unapaswa kujifunza kiingereza fasaha na jinsi ya kutumia maneno yake.i.e profession yake ni uwakili na ili uwese kusimama mahakama za kimataifa unatakiwa uwe wakili wa nchi yako kwa kifupi yeye alikua ni mkufunzi tu wa sheria na huo uwakili wa viti maalumu ameupata 2009 baada kua anafeli sana bar exams pia hana uzoefu wowote ule wa kwenye mahakama za kitaifa..hata wa mahakama za ndani maana hakua wakili licha ya kua mkufunzi wa sheria...
tofautisha matakwa ya kisheria na uhalisia wa kulipa kodi jomba...ingekuwa kama unavyosema saiz tungekuwa mbali mno...fikiri tena jomba then mwaga upupu wakoUnajitoa akili kaka... unajidhalilisha... DAILY LIFE YENYEWE INA KODI KILA KONA... KILA UNACHOFANYA KINA KODI
Tuwekee proof by the Court's verdict kuwa mkulima hajalipwa na asingelipwa kuna watu wana mapepo wangetamba vibaya. Otherwise, acha umbeya wewe dada. Believe me, hiyo ndege tumeinunua ×2.
Umbali umefupishwa na wizi jombaa.. Mimi na wewe tunajuwa EPA... RICHMOND,... MEREMETA... TANPOWER... ETC. waza ZILE HELA ZILIZOTOKA KWA MASANDALUSI PALE STANBIC BANK ZILIENDA WAPI? Umesoma kitabu cha Mkapa kuhusu alichosema juu ya kashfa hizo..??tofautisha matakwa ya kisheria na uhalisia wa kulipa kodi jomba...ingekuwa kama unavyosema saiz tungekuwa mbali mno...fikiri tena jomba then mwaga upupu wako
kwa hiyo unataka kutuambia kodi zinalipwa kwa asilimia 100...kulingana na njia unayoisema...mbona hatukuwa na madege yote hayo na ma train na mameli na madaraja na mabarabara na elimu bure na madawa mengi hospitali na ma stiglers gorge na mengine mengi yataje tuUnajitoa akili kaka... unajidhalilisha... DAILY LIFE YENYEWE INA KODI KILA KONA... KILA UNACHOFANYA KINA KODI
Mkapa kasemajeUmbali umefupishwa na wizi jombaa.. Mimi na wewe tunajuwa EPA... RICHMOND,... MEREMETA... TANPOWER... ETC. waza ZILE HELA ZILIZOTOKA KWA MASANDALUSI PALE STANBIC BANK ZILIENDA WAPI? Umesoma kitabu cha Mkapa kuhusu alichosema juu ya kashfa hizo..??