minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
ndio atuletee risiti tuthibitishe kama analipa kodi kweli. mbona sisi tutadai taarifa ya ndege.kama vile sijui tutaipeleka.wapi
Wewe lete risti ya hizo pesa haramu unazolipwa na CCM kwa ajili ya kutengeneza propaganda za kuwahadaa bongo lala