Miafrika nfivyo tulivyo, wanaong'ang'ana na kuonyeshwa court verdict ku thibitisha mkulima hajalipwa, wao hawana yao kuthibitisha mkulima kalipwa. Inabaki kuwa ngoma draw😅😅😅
AiseeNdege haikuachiwa bure wamelipa kisha wakamuomba mkulima wa kizungu apige kimya ili profeselii Kabudi apate kujimwambafy huko mwanza kuficha Aibu yao.
HatersAnachukia kwa sababu anaona Watanzania wamedharauliwa sana kwa kufanywa ni wajinga
Mheshimiwa kinachodaiwa ni proof ya madai hayo. Ukitusaidia ku ushahidi kesi imeisha😅😅Ngoma siyo draw ukweli ni kwamba mkulima wa kizungu kalipwa kwa siri kubwa kisha profeselii Kabudi akamuomba apige kimya ili yeye akajimwambafy mwanza wapate kuficha Aibu yao, si unajua bado wapo watanzania wachache ni bongo lala hawana uwezo wa kufiri kwa kiina wapo wanasubiria kusikia vya profeselii Kabudi ndivyo wakariri na kuviamini utazani vinatoka mbinguni kwa mungu.
HahahahaaView attachment 1290856
Mkulima akizihesabu na kuzihakikisha huko Canada
Usiandike usichokijua. Mkulima atakuja bongo siku si nyingi.Ndege haikuachiwa bure wamelipa kisha wakamuomba mkulima wa kizungu apige kimya ili profeselii Kabudi apate kujimwambafy huko mwanza kuficha Aibu yao.
Usiandike usichokijua. Mkulima atakuja bongo siku si nyingi.
Mkuu ushahidi Mzungu kaombwa apige kimya na sasa Mzungu yupo free kurejea Tanzania hivyo ni mojawapo wa ushahidi kuwa yapo maridhiano ya siri, chunguza kuanzia hapo sasa.Mheshimiwa kinachodaiwa ni proof ya madai hayo. Ukitusaidia ku ushahidi kesi imeisha😅😅
Ninakupa taarifa ya jikoni kabisa mkulima anakuja bongo siku chache zijazo.Wewe ndiyo unaandika usichokijua mkulima akija bongo ni muendelezo wa sinema za profeselii Kabudi, jiulize kama anakuja Bongo anakuja vipi wakati mwanzo walimfukuza na kumzuia asikanyage bongo, kitendo cha kuja pia ujue kalipwa kiasi hata kama siyo zote.
Ushahidi wa hayo maombi. Kama ni sirimwe umejuaje? You must have a proof, fichua kilichofichwa😅😅Mkuu ushahidi Mzungu kaombwa apige kimya na sasa Mzungu yupo free kurejea Tanzania hivyo ni mojawapo wa ushahidi kuwa yapo maridhiano ya siri, chunguza kuanzia hapo sasa.
Kitendo cha kuja pekee ni ushahidi tosha kuwa wamempigia magoti wakamuondolea vikwazo vya kumzuia kuingia Tanzania.Ninakupa taarifa ya jikoni kabisa mkulima anakuja bongo siku chache zijazo.
Suluhisho la kudumu ni la muhimu.Kitendo cha kuja pekee ni ushahidi tosha kuwa wamempigia magoti wakamuondolea vikwazo vya kumzuia kuingia Tanzania.
Ungeziweka hizi hasira kwenye kujitafutia kipato sasa hivi ungeshaanza kujitegemeaKuna vitu vingine vya kujisababishia wenyewe kisha kwenye kujitetea vinageuzwa vya kitaifa, hili swala lingekuwa kwenye Nchi zingine wanaojua kuona chanzo cha Tatizo sidhani kama profeselii Kabudi angekuwa bado yupo ofisini, ni Tanzania pekee waziri akifanya makosa kwa uzembe wake binafsi kwenye kujitetea jambo linageuzwa kuwa la kitaifa na kutumia pesa za walipa kodi kuharalisha dhuluma.
Pole sana.Kamanda, hata SA mlisema hivyo hivyo, tumewazoea kwa kujifariji
Kumbuka awamu zote walikuwa wakimlipa kidogo kidogo bila Tatizo iweje awamu hii ya kibabe wafanye ubabe wa kishamba kisha Ndege kukamatwa wanasaka huruma za watanzania wote? Maamuzi mabovu ya profeselii Kabudi ndiyo yanaigharimu Taifa kwa sasa.Suluhisho la kudumu ni la muhimu.
Kamanda hujui lolote,acha kuifurahisha nafsiMkuu ushahidi Mzungu kaombwa apige kimya na sasa Mzungu yupo free kurejea Tanzania hivyo ni mojawapo wa ushahidi kuwa yapo maridhiano ya siri, chunguza kuanzia hapo sasa.