Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

Hao vijana wamechukia sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ujue hakuna kitu kibaya kama watu wachache kama profeselii Kabudi kutengeneza dhuluma wao binafsi kisha kwenye utetezi wameigeuza ya kitaifa, wanafanya mambo kienyeji kwa njia haramu lakini wakilemewa hugeuza kuwa ya kitaifa kisha kutumia pesa za walipa kodi kupambania kuharalisha dhuluma .
 
Miafrika nfivyo tulivyo, wanaong'ang'ana na kuonyeshwa court verdict ku thibitisha mkulima hajalipwa, wao hawana yao kuthibitisha mkulima kalipwa. Inabaki kuwa ngoma draw😅😅😅

Ngoma siyo draw ukweli ni kwamba mkulima wa kizungu kalipwa kwa siri kubwa kisha profeselii Kabudi akamuomba apige kimya ili yeye akajimwambafy mwanza wapate kuficha Aibu yao, si unajua bado wapo watanzania wachache ni bongo lala hawana uwezo wa kufiri kwa kiina wapo wanasubiria kusikia vya profeselii Kabudi ndivyo wakariri na kuviamini utazani vinatoka mbinguni kwa mungu.
 
Mheshimiwa kinachodaiwa ni proof ya madai hayo. Ukitusaidia ku ushahidi kesi imeisha😅😅
 
Kuna vitu vingine vya kujisababishia wenyewe kisha kwenye kujitetea vinageuzwa vya kitaifa, hili swala lingekuwa kwenye Nchi zingine wanaojua kuona chanzo cha Tatizo sidhani kama profeselii Kabudi angekuwa bado yupo ofisini, ni Tanzania pekee waziri akifanya makosa kwa uzembe wake binafsi kwenye kujitetea jambo linageuzwa kuwa la kitaifa na kutumia pesa za walipa kodi kuharalisha dhuluma.
 
Usiandike usichokijua. Mkulima atakuja bongo siku si nyingi.

Wewe ndiyo unaandika usichokijua mkulima akija bongo ni muendelezo wa sinema za profeselii Kabudi, jiulize kama anakuja Bongo anakuja vipi wakati mwanzo walimfukuza na kumzuia asikanyage bongo, kitendo cha kuja pia ujue kalipwa kiasi hata kama siyo zote.
 
Mheshimiwa kinachodaiwa ni proof ya madai hayo. Ukitusaidia ku ushahidi kesi imeisha😅😅
Mkuu ushahidi Mzungu kaombwa apige kimya na sasa Mzungu yupo free kurejea Tanzania hivyo ni mojawapo wa ushahidi kuwa yapo maridhiano ya siri, chunguza kuanzia hapo sasa.
 
Wewe ndiyo unaandika usichokijua mkulima akija bongo ni muendelezo wa sinema za profeselii Kabudi, jiulize kama anakuja Bongo anakuja vipi wakati mwanzo walimfukuza na kumzuia asikanyage bongo, kitendo cha kuja pia ujue kalipwa kiasi hata kama siyo zote.
Ninakupa taarifa ya jikoni kabisa mkulima anakuja bongo siku chache zijazo.
 
Mkuu ushahidi Mzungu kaombwa apige kimya na sasa Mzungu yupo free kurejea Tanzania hivyo ni mojawapo wa ushahidi kuwa yapo maridhiano ya siri, chunguza kuanzia hapo sasa.
Ushahidi wa hayo maombi. Kama ni sirimwe umejuaje? You must have a proof, fichua kilichofichwa😅😅
 
Kuna vitu vingine vya kujisababishia wenyewe kisha kwenye kujitetea vinageuzwa vya kitaifa, hili swala lingekuwa kwenye Nchi zingine wanaojua kuona chanzo cha Tatizo sidhani kama profeselii Kabudi angekuwa bado yupo ofisini, ni Tanzania pekee waziri akifanya makosa kwa uzembe wake binafsi kwenye kujitetea jambo linageuzwa kuwa la kitaifa na kutumia pesa za walipa kodi kuharalisha dhuluma.
Ungeziweka hizi hasira kwenye kujitafutia kipato sasa hivi ungeshaanza kujitegemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suluhisho la kudumu ni la muhimu.
Kumbuka awamu zote walikuwa wakimlipa kidogo kidogo bila Tatizo iweje awamu hii ya kibabe wafanye ubabe wa kishamba kisha Ndege kukamatwa wanasaka huruma za watanzania wote? Maamuzi mabovu ya profeselii Kabudi ndiyo yanaigharimu Taifa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom