minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Ujue hakuna kitu kibaya kama watu wachache kama profeselii Kabudi kutengeneza dhuluma wao binafsi kisha kwenye utetezi wameigeuza ya kitaifa, wanafanya mambo kienyeji kwa njia haramu lakini wakilemewa hugeuza kuwa ya kitaifa kisha kutumia pesa za walipa kodi kupambania kuharalisha dhuluma .