Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Suala litafikia tamati siku chache zijazo. Tutahamia kwenye mada nyingine.Kumbuka awamu zote walikuwa wakimlipa kidogo kidogo bila Tatizo iweje awamu hii ya kibabe wafanye ubabe wa kishamba kisha Ndege kukamatwa wanasaka huruma za watanzania wote? Maamuzi mabovu ya profeselii Kabudi ndiyo yanaigharimu Taifa kwa sasa.
Ungeziweka hizi hasira kwenye kujitafutia kipato sasa hivi ungeshaanza kujitegemea
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kurukaruka kama maharage jikoni, weka hukumu tuione, otherwise unapoteza mda kujitekenya!Ndege inakuja,weka namba ya simu nikutumie nauli uende Mwanza kuishuhudia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninakupa taarifa ya jikoni kabisa mkulima anakuja bongo siku chache zijazo.
[/QUOTE
hujambo Musiba? akina musiba ndio tu wenye taarifa ya jikoni! kuna musiba mwingine nilimsikia akisema siri zote za nchi hii anazijua yeye. alipotekwa Mo akaishia kusema kuwa wasifanywe wajinga. hajatuambia mtekaji ni nani!
swali ni tumeshinda kesi au tumelipa? swali la sebureni kabisa. sasa hiyo taarifa ya jikoni ya nini? nani ana njaa?
Ukweli ni kwamba mkulima kalipwa na pia karuhusiwa kuingia hapo Nchini Tanzania bila vikwazo vyovyote cha ajabu watetezi wa CCM mitandaoni hawataki kusema ukweli na sijui nini kinawakwaza kuanika ukweli.Hapa mkulima alikuwa anasaini nini, kwanini tusikubali tu dawa ya deni ni kulipaView attachment 1292968
Sent using Jamii Forums mobile app
jifunze kwanza kuandika, Steyn kakuona atakujali kwa chochote.Kwani mimi nina njaa? nalizikia nilichonacho hapa, mbona wewe huweki mda wako kwenye kipato umebakia kutetea dhuluma za kishamba mitandaoni?
Wewe jifunze kutetea haki acha kutetea dhuluma laana ya watanzania itakukosesha Uteuzi mwingijifunze kwanza kuandika, Steyn kakuona atakujali kwa chochote.
Hapa mkulima alikuwa anasaini nini, kwanini tusikubali tu dawa ya deni ni kulipaView attachment 1292968
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni makabidhiano ya ndege kutoka kiwandani, ushaona wapi mkulima ambaye ni raia wa Afrika Kusini akatumia bendera ya Canada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuna Aibu gani kusema mmemlipa? Ni mara mia kusema ukweli kuliko kuficha ficha mnazidi kujitia Aibu zaidi, hakuna ubaya kulipa Deni kwani dawa ya Deni ni kulipa full stop.
Wameshinda nini?
Tanzania ikinunua ndege kesho Marekani Kaburu Stein hawezi kuingikia manunuzi hayo na kuizuia ndege?
Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu ni hivi. Tumeshinda kesi. Haya kujoa ukalale mtoto yake nepi.Tumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu
Fact Majungu ni Akili za Le mutuz hizo ni mtu mjinga pekee anaweza kukaa kufuatilia canada wakati vitu vinajielezea wazi, kitendo cha mkulima wa kizungu kuruhusiwa kuingia hapo Nchini Tanzania ni ushahidi tosha kuwa yapo maridhiano hakuna haja ya kuumiza kichwa na vigezo vya le mutuz fact mara majungu acheni kuwadharau watanzania kaeni mtambue kuwa watanzania wana Akili kuliko nyie watetezi wa CCM wasaka Uteuzi kila siku.
Minyoo hatuongelei majungu, usitake kulazimisha mambo ambayo huyafahamu, sasa unaruka kimanga kwa sababu hufahamu what happened. Ni aibu ku- argue wakati huna facts. Wacha majungu! kwanu kuna ubaya gani ukifuatilia kule Canada ukapata vielelezo kilichojiri then ukatuwekea facts kuliko kuwanga mchana kweupe?
USA is not part of Commonwealth Countries agreement.