Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Suala litafikia tamati siku chache zijazo. Tutahamia kwenye mada nyingine.Kumbuka awamu zote walikuwa wakimlipa kidogo kidogo bila Tatizo iweje awamu hii ya kibabe wafanye ubabe wa kishamba kisha Ndege kukamatwa wanasaka huruma za watanzania wote? Maamuzi mabovu ya profeselii Kabudi ndiyo yanaigharimu Taifa kwa sasa.