Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

Kumbuka awamu zote walikuwa wakimlipa kidogo kidogo bila Tatizo iweje awamu hii ya kibabe wafanye ubabe wa kishamba kisha Ndege kukamatwa wanasaka huruma za watanzania wote? Maamuzi mabovu ya profeselii Kabudi ndiyo yanaigharimu Taifa kwa sasa.
Suala litafikia tamati siku chache zijazo. Tutahamia kwenye mada nyingine.
 
Mzungu kalipwa na pia kurejeshewa haki zake za kuingia Nchini Tanzania ingawa watetezi wa CCM mitandaoni watapinga lakini ukweli ndiyo huo na pia sidhani kama kuna ubaya kuoneka wamemlipa kinachoshangaza ni kuficha ukweli huo, ebu watetezi wa CCM muwaonee huruma watanzania acheni kuwadharau kiasi hicho.
 
Hapa mkulima alikuwa anasaini nini, kwanini tusikubali tu dawa ya deni ni kulipa
IMG-20191215-WA0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninakupa taarifa ya jikoni kabisa mkulima anakuja bongo siku chache zijazo.
[/QUOTE
hujambo Musiba? akina musiba ndio tu wenye taarifa ya jikoni! kuna musiba mwingine nilimsikia akisema siri zote za nchi hii anazijua yeye. alipotekwa Mo akaishia kusema kuwa wasifanywe wajinga. hajatuambia mtekaji ni nani!
swali ni tumeshinda kesi au tumelipa? swali la sebureni kabisa. sasa hiyo taarifa ya jikoni ya nini? nani ana njaa?
 
Kwani mimi nina njaa? nalizikia nilichonacho hapa, mbona wewe huweki mda wako kwenye kipato umebakia kutetea dhuluma za kishamba mitandaoni?
jifunze kwanza kuandika, Steyn kakuona atakujali kwa chochote.
 
Kwa kuna Aibu gani kusema mmemlipa? Ni mara mia kusema ukweli kuliko kuficha ficha mnazidi kujitia Aibu zaidi, hakuna ubaya kulipa Deni kwani dawa ya Deni ni kulipa full stop.

Minyoo hatuongelei majungu, usitake kulazimisha mambo ambayo huyafahamu, sasa unaruka kimanga kwa sababu hufahamu what happened. Ni aibu ku- argue wakati huna facts. Wacha majungu! kwanu kuna ubaya gani ukifuatilia kule Canada ukapata vielelezo kilichojiri then ukatuwekea facts kuliko kuwanga mchana kweupe?
 

Minyoo hatuongelei majungu, usitake kulazimisha mambo ambayo huyafahamu, sasa unaruka kimanga kwa sababu hufahamu what happened. Ni aibu ku- argue wakati huna facts. Wacha majungu! kwanu kuna ubaya gani ukifuatilia kule Canada ukapata vielelezo kilichojiri then ukatuwekea facts kuliko kuwanga mchana kweupe?
Fact Majungu ni Akili za Le mutuz hizo ni mtu mjinga pekee anaweza kukaa kufuatilia canada wakati vitu vinajielezea wazi, kitendo cha mkulima wa kizungu kuruhusiwa kuingia hapo Nchini Tanzania ni ushahidi tosha kuwa yapo maridhiano hakuna haja ya kuumiza kichwa na vigezo vya le mutuz fact mara majungu acheni kuwadharau watanzania kaeni mtambue kuwa watanzania wana Akili kuliko nyie watetezi wa CCM wasaka Uteuzi kila siku.
 
USA is not part of Commonwealth Countries agreement.

Le mutuz ujue una miaka 60 lakini bado una mambo ya ajabu ajabu ni lini utaacha dharau kwa watanzania?
 
Yeye mwenyewe si alishawahi kusema watz sio wajinga? Inakuaje kwa hili hiyo kauli usifanye kazi?
 
Back
Top Bottom