Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

Muda wa kampeni bado shangazi na hakuna anayehitaji msaada wa kunadiwa Kati yao kwani majina na vivuli vyao vyatosha kushinda nafasi yoyote ya kisiasa! Jifunze kucheza tune yako kwani mliyenaye kachoka kupiga gitaa na huenda asihudhurie fiesta ijayo! Ulishawahi kuukwepa upepo? Fanya mazoezi ya kuwazoea unaowatukana Leo kwani mwakani ndio watia sahii hukumu ya kifo!
 

Mpunga! Mpunga! Mpunga! Mpunga! Mpunga!
 
Wewe ungefanya utafiti kdg kabla ya kukurupuka mfano;
kesi tumeshinda? au tumekubali 'kumalizana' na mzungu wa watu?
Usipende kuandika vitu ambavyo hujajua ukweli wake!
 
Huo mpunga ulikuwa uende kununua watu upinzani, ni jambo linalostahili pongezi kwa Dakta John Pombe Magufuli kumlipa mkulima aliyezulumumiwa na awamu ya kwanza
Hili jambo linaonesha ukomavu wa Rais John P Magufuli
Kilichibakia kwa Raisi wetu mpendwa ni kufufua ile kesi ya waliomshambulia Tundu Lissu pamoja na wale wote waliopotezwa na kuuwawa.
 
Reactions: PNC
da hao wakiingia bora nihame dunia niende hata mars wezi wakubwa hao
 
Hii ni fix ya kisiasa, hakuna ndege iliyozuiliwa wala hakuna kitu kesi,
Yote ni kutaka kumkweza mtu kisiasa ili aonekane shujaa.
 
Hii ni fix ya kisiasa, hakuna ndege iliyozuiliwa wala hakuna kitu kesi,
Yote ni kutaka kumkweza mtu kisiasa ili aonekane shujaa.
Hii ilatangazwa na mashirika yote makubwa ya habari likiwemo BBC sasa unataka kuniambia wao wamekuwa TBC shirika la jumuiya ya wazazi
 
Thubutu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…