imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Nimekuquote wewe angalia nimejibu koment gani vipi Wakudada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuquote wewe angalia nimejibu koment gani vipi Wakudada?
Ninayo! Very strange huna ahalafu uasema as if imeachiwa bila masharti/kulipa etc!Kamanda una hukumu ya Gauteng?mnazidi kutanua goli,pole kwa maumivu.
Ndugu zangu,
Takribani majuma mawili yaliyopita Waziri wa Mambo ya nje Prof.Palamaganda Kabudi aliutaarifu Umma kutokea Dodoma siku ambayo Rais Magufuli alikuwa na kazi ya kikatiba kuwaapisha mabalozi wetu.
Prof.Kabudi alimuelezea rais huku akieleza jinsi ambavyo wananchi wa Tanzania watauchukua ushindi dhidi ya kaburu Stein kwa mara nyingine baada ya ''kumcharaza'' katika mahakama ya Gauteng kule bondeni (Afrika ya kusini).
Aliyekuwa wa kwanza kubeza ni Ndugu Membe huku akiaminisha umma kuwa Prof.Kabudi hatafanikiwa, akishauri kuwa njia pekee ni kumuita mkulima Stein kwenye meza na ''kumlipa chake. Ajizi nyumba ya njaa naye Tundu Lissu na Fatuma Karume wakauvagaa mkenge huku akiwa hawana uzoefu wowote na mashauri katika korti ya kimataifa, walijaribu kuwaapooza wafuasi wao ambao walikuwa wenye hasira nyingi baada ya kushauriwa vibaya kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Bila kuchelewa, wafuasi wa CHADEMA na wanasiasa hao wakaivagaa mitandao huku wakionesha dharau kwa Prof.Kabudi na Watanzania, wakisema Mkulima Stein ni ''kiboko'' wakiowanukuu Lissu,Fatuma na Membe.
Wanasheria wetu wazalendo walinyamaza kimya huku wakiandaa hoja za kumshinda ''Mkulima Stein'' kortini. Kwa hoja zilizotolewa kortini hatimaye siku mbili zilizopita Mahakama ya Canada iliipa Tanzania ushindi kwa mara nyingine tena huku ikiweka ''precedence'' kwa siku zijazo.
Nimalize tu kwa kusema, Hongereni wananchi wazalendo wa Tanzania, Mmeshinda tena!
Huo mpunga ulikuwa uende kununua watu upinzani ni jambo linalostahili pongezi kwa Dakta John Pombe Magufuli kumlipa mkulima aliyezulumumiwa na awamu ya kwanza
Hili jambo linaonesha ukomavu wa Rais John P Magufuli
Kilichibakia kwa Raisi wetu mpendwa ni kufufua ile kesi ya waliomshambulia Tundu Lissu pamoja na wale wote waliopotezwa na kuuwawa.
Huyu ndugu yako lugha aliyotumia kwa Shangazi Fatuma karume inakubalika?Kamanda ha ha ha kuna binti nilimuita koku akashtaki kwa admini huku akilia machozi.Tumia lugha ya kistaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu
Ndugu zangu,
Takribani majuma mawili yaliyopita Waziri wa Mambo ya nje Prof.Palamaganda Kabudi aliutaarifu Umma kutokea Dodoma siku ambayo Rais Magufuli alikuwa na kazi ya kikatiba kuwaapisha mabalozi wetu.
Prof.Kabudi alimuelezea rais huku akieleza jinsi ambavyo wananchi wa Tanzania watauchukua ushindi dhidi ya kaburu Stein kwa mara nyingine baada ya ''kumcharaza'' katika mahakama ya Gauteng kule bondeni (Afrika ya kusini).
Aliyekuwa wa kwanza kubeza ni Ndugu Membe huku akiaminisha umma kuwa Prof.Kabudi hatafanikiwa, akishauri kuwa njia pekee ni kumuita mkulima Stein kwenye meza na ''kumlipa chake. Ajizi nyumba ya njaa naye Tundu Lissu na Fatuma Karume wakauvagaa mkenge huku akiwa hawana uzoefu wowote na mashauri katika korti ya kimataifa, walijaribu kuwaapooza wafuasi wao ambao walikuwa wenye hasira nyingi baada ya kushauriwa vibaya kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Bila kuchelewa, wafuasi wa CHADEMA na wanasiasa hao wakaivagaa mitandao huku wakionesha dharau kwa Prof.Kabudi na Watanzania, wakisema Mkulima Stein ni ''kiboko'' wakiowanukuu Lissu,Fatuma na Membe.
Wanasheria wetu wazalendo walinyamaza kimya huku wakiandaa hoja za kumshinda ''Mkulima Stein'' kortini. Kwa hoja zilizotolewa kortini hatimaye siku mbili zilizopita Mahakama ya Canada iliipa Tanzania ushindi kwa mara nyingine tena huku ikiweka ''precedence'' kwa siku zijazo.
Nimalize tu kwa kusema, Hongereni wananchi wazalendo wa Tanzania, Mmeshinda tena!
Ni tradion yetu kuwashangilia wenye pesa hata kama wenyewe hawaambulii kitu chochote kwenye utajiri huo wa hao watu wanao washabikiwa.Jamani Watanzania wenzetu hawachoki hata mie naanza kuamini kwamba wanaochochea ni wenzetu wa ndani wanafurahia mini Yarabi pesa yetu ilipwe mwingine badala ya kusaidia kujenga Nchi.
Mkuu milioni 33 dola ni nyingiLakini zilikua nyingi hivyo? Basi wengine waweza kuanza kusafiri ili kumufuata atoe mgao mapema!!!
Huyu jamaa akitoka jumba jeupe tutakuwa na madeni ya ajabu sanaNdugu zangu,
Takribani majuma mawili yaliyopita Waziri wa Mambo ya nje Prof.Palamaganda Kabudi aliutaarifu Umma kutokea Dodoma siku ambayo Rais Magufuli alikuwa na kazi ya kikatiba kuwaapisha mabalozi wetu.
Prof.Kabudi alimuelezea rais huku akieleza jinsi ambavyo wananchi wa Tanzania watauchukua ushindi dhidi ya kaburu Stein kwa mara nyingine baada ya ''kumcharaza'' katika mahakama ya Gauteng kule bondeni (Afrika ya kusini).
Aliyekuwa wa kwanza kubeza ni Ndugu Membe huku akiaminisha umma kuwa Prof.Kabudi hatafanikiwa, akishauri kuwa njia pekee ni kumuita mkulima Stein kwenye meza na ''kumlipa chake. Ajizi nyumba ya njaa naye Tundu Lissu na Fatuma Karume wakauvagaa mkenge huku akiwa hawana uzoefu wowote na mashauri katika korti ya kimataifa, walijaribu kuwaapooza wafuasi wao ambao walikuwa wenye hasira nyingi baada ya kushauriwa vibaya kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Bila kuchelewa, wafuasi wa CHADEMA na wanasiasa hao wakaivagaa mitandao huku wakionesha dharau kwa Prof.Kabudi na Watanzania, wakisema Mkulima Stein ni ''kiboko'' wakiowanukuu Lissu,Fatuma na Membe.
Wanasheria wetu wazalendo walinyamaza kimya huku wakiandaa hoja za kumshinda ''Mkulima Stein'' kortini. Kwa hoja zilizotolewa kortini hatimaye siku mbili zilizopita Mahakama ya Canada iliipa Tanzania ushindi kwa mara nyingine tena huku ikiweka ''precedence'' kwa siku zijazo.
Nimalize tu kwa kusema, Hongereni wananchi wazalendo wa Tanzania, Mmeshinda tena!
Kumlipiza kwa matusi sio sawa kamandaHuyu ndugu yako lugha aliyotumia kwa Shangazi Fatuma karume inakubalika?
Madeni yapi wakati wanaodai wanashindwa kesiHuyu jamaa akitoka jumba jeupe tutakuwa na madeni ya ajabu sana
Ebooo! Anzeni kuweka ninyi hiyo hukumu ya kulipwa si mnayo😃😃😃Huyu ndiye mkuu. Weka Hukumu hapa! Vinginevyo tutakudharau!
View attachment 1290856
Mkulima akizihesabu na kuzihakikisha huko Canada
Lakini umesoma na sindano naona inaingia taratibumkuu andika tu hata kwa kisukuma maana sielewi hichi kiswahili chako kibovu.
Kama fedha isingelipwa lakini kwa sasa mpunga kibindoni ndege imeachiwa.Leta ushahidi vinginevyo ni majungu tu kama wakati ule mlisema anakabidhiwa ndege tarehe 2 mwezi huu.