Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

Kushinda kesi ya madai ni kulipa na anayeshinda ni mdai siyo mdaiwa kwa hiyo Watanzania tufurahi na kutembea kifua mbele tu kuwa sasa deni moja kati ya mengi limelipwa. Watajwa hawana haja ya kuomba msamaha kwa tendo la ndege zetu za abiria kukamatwa mara tatu katika muda mfupi kumetia doa baya sana kibiashara maana abiria wa nchi za nje wataogopa kusafiri na ATCL. Pia biashara ya usafiri wa anga unaendeshwa kwa kukopa, mfano, mafuta ya ndege hutembei nayo kwenye madumu, vyakula unakuwa na kampuni maalum ya catering kutoa huduma hiyo, nk kwahiyo kama tuna tabia kutolipa madeni, nao wataogopa kutoa huduma ili kuepuka kuburuzana mahakamani.
 
Kumlipiza kwa matusi sio sawa kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukua kwa upanga nawe utauawa kwa upanga. Ametoa matusi anarudishiwa matusi. Kibaya ni kama kile mlichokifanya kwa Lisu. Badala ya kumjibu Lisu kwa hoja , mlimjibu kwa Rasasi! hii ndiyo mbaya. Hoja kwa hoja, matusi kwa matusi , Risasi kwa risasi and not otherwise!
 
da hao wakiingia bora nihame dunia niende hata mars wezi wakubwa hao
Nawe ni CT humu jf? Kwani wanaokuongoza leo hii ni malaika? Hawajawahi kuiba chochote? Endelea kulamba unga wa ndele huku wanaokuongoza wakichikichia 1.5 bn!
 
rudisheni fedhan zetu mnazotapanya kwa bhangi zenu mnalipa kwa ulevi wenu wa upumbavu mmelipa tena kodi zetu 🙂👹👹👹👹👹
 
Kikubwa Mzungu kalipwa hela yake na ndege imeachiwa.
Kabugi na boss wake wameifyata mikia yao.
Na bado zitakamatwa sana maana madeni ni mengi.
Ukweli Jiwe kayakuta lakini atatuachia mengi na makubwa mara kumi ya aliyoyakuta.
 
Na wewe leta huku ya kesi ya huko Canada inayoonyesha kwamba Mkulima kashinda na serikali imeagizwa kumlipa. Usipinge kwa maneno wao wameeleza kwamba wao wanasema kwamba hukumu imetolewa dhidi ya serikali tuamini hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora tumelipa deni kuondokana na hii aibu kubwa.
 

Niko hapa nakufuatilia mzee baba, ukipotosha tu huna bahati.
 
Kuomba radhi hawawezi sana sana wanasubiri suala jingine lijitokeze waje waanzishe uzi wa kejeli na vijembe.

Hao ni wazee wa kuhamisha magoli wazee wa matukio, wakisahau kuwa muda unakwenda hausubiri mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…