Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

Hakuna cha Kumuomba radhi maana hawakumkosea chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ushamba wako ujue watanzania siyo wajinga hakuna asiyejua kuwa chanzo cha hili sakata ni profeselii Kabudi kubuni Mbinu za kumdhulumu mkulima wa kizungu kwa kutengeneza mazingira ya kumfukuza Nchini ili wapate kumdhulumu kirahisi kwa njia haramu, Yaani watengeneze Tatizo wao kwa kisingizio cha uzalendo kisha watake watanzania wenye Akili timamu waone huo ni uzalendo? , acheni dharau kwa watanzania Tambua kuwa watanzania wana Akili nyingi kuliko nyinyi watetezi wa CCM mitandaoni.
 
Hukumsikiliza vizuri Kabudi wewe?
Hakuna mahala aliongelea kumlipa. Alisema wanasheria wetu mahiri wapo njiani kuelekea Canada kuieleza mahakama ya kule kuwa kuwa hilo tapeli walishalishinda South Africa. Likakata Rufaa tukalishinda tena na sasa Canada tumelishindaa tena.
Yaani UFIPA ni kilio tu kwa makamanda kwa sasa.
 

Acha hizo ujue watanzania wanajua mkulima wa kizungu anadai Deni halali siyo Tapeli, kujimwambafy kutumia gharama kubwa kukwepa Deni ni matumizi mabaya ya pesa za umma
 
Kawadanganye wadanganyika wenzako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuomba radhi hawawezi sana sana wanasubiri suala jingine lijitokeze waje waanzishe uzi wa kejeli na vijembe.

Hao ni wazee wa kuhamisha magoli wazee wa matukio, wakisahau kuwa muda unakwenda hausubiri mtu.

Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kwa kila kitu kidogo kikubwa matukio hawatakiwi kuacha chochote kile popote Nchini, usiwapangie cha kukosoa lazima wapite na mapungufu yote mda wote.
 
kwa kupinga maendeleo yetu, hao watu hawafai kuja kua viongozi wetu baadae.
Unapinga na kubeza maendeleo ya nchi yako? Hao jamaa wana bahati sana. Mimi ningelikuwa kiongozi wa nchi hii, wangepotea!!!!
 
Unapinga na kubeza maendeleo ya nchi yako? Hao jamaa wana bahati sana. Mimi ningelikuwa kiongozi wa nchi hii, wangepotea!!!!

Huwezi kuwa kiongozi na hata ungekuwa kiongozi ungekufa kwa laana ya uonevu usio na Tija, kazi ya upinzani siyo kuifagilia Serikali kwa mapungufu yake, kazi ya upinzani ni kupinga vitu mambo yote ya hovyo hovyo pasipo kuchagua wala kubagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…