Dua
JF-Expert Member
- Nov 14, 2006
- 3,236
- 669
Le mutuz ujue una miaka 60 lakini bado una mambo ya ajabu ajabu ni lini utaacha dharau kwa watanzania?
Minyoo, kwa hiyo basi mimi ni Le mutuz ndiyo Majungu yenyewe hayo. Hunifahamu sikufahamu then unaruka kimanga ati unanifahamu. Sorry mate I am not the person you think, I just happen to be clever than you. I only argue about the points presented it does not matter who presented his/her views to be discussed. all in all its about our beloved country. Sasa mkuu onyesha dharau yangu kwa Watanzania.
Fact Majungu ni Akili za Le mutuz hizo ni mtu mjinga pekee anaweza kukaa kufuatilia canada wakati vitu vinajielezea wazi, kitendo cha mkulima wa kizungu kuruhusiwa kuingia hapo Nchini Tanzania ni ushahidi tosha kuwa yapo maridhiano hakuna haja ya kuumiza kichwa na vigezo vya le mutuz fact mara majungu acheni kuwadharau watanzania kaeni mtambue kuwa watanzania wana Akili kuliko nyie watetezi wa CCM wasaka Uteuzi kila siku.
Kumbe mkulima yupo Tanzania, hebu tupe ushahidi basi? Kama nakumbuka vizuri wakati wa ile kesi kule Gautang SA aliambiwa afuatilie Tanzania. Je, kulikoni? Tuwekee hizo facts maana kama huna itakuwa majungu.
BTW Sina sababu ya kutaka cheo kwenye Serikali ya JPM, kama ningetamani cheo nakupa guarantee leo hii ningekwenda kuomba nionane nae binafsi na kumpa CV yangu personally. Angeniajiri bila pupepesa macho au angeniambia sipo sahihi kwenye mipango yake, ni sawa na mwajiri yeyote yule. Mimi sina haja ya kuzunguka mbuyu maana hapa nilipo sihitaji kuajiriwa Tanzania. Mimi ni Employer naajiri watu kunifanyia kazi. When the time is right (and that time is becoming nearer and nearer every day on this Government) nitaajiri Watanzania wengi, kwa hiyo basi usiwe na homa ya kwashakoo kufikiri mimi ni hoe hae kama wewe.