Kuagiza gari nje ya nchi ujipange (2024/25 FY)

Viongozi waliopo madarakani uwezo wao wa kubuni vyanzo vya mapato ni mdogo hasa,na hii ndio inaonyesha vile akili zilizotokana na hii elimu yetu ya hovyo isivyokua na maana yoyote
 
Waeleze kwa mifano kuwa ile gari tunayo idharau sana watanzania, MWIGULU kaifikisha hapa. Na sasa hivi kuagiza mwenyewe lazima zikutoke 18M ukiogopa ukaenda Yard nenda na 20M
View attachment 3021409
Mnaidharau kwa upumbavu wenu, (mazda verisa, vits model zote, passo model zote, Honda Fit, swift, demons, na ndugu zake akina note, Toyota Porte na jamaa zake akina terrios)

Hakuna gari ya kuipiku Ist hapo, hata akina Raum na spacio wanakalishwa vzuri tuu, tht why mm naona wanaoiponda IST ni malimbukeni km malimbukeni wengine tuu
 
CCM mbele kwa mbele
 
Brother hii gari unaweza nunua au unasumbua watu tuu
 
Brother hii gari unaweza nunua au unasumbua watu tuu
kwa nini unaniuliza hivyo; swali la kijinga sana hilo.

Gari ninaloendesha hapa marekani ni la bei kubwa sana kuliko hilo Toyota Hilux ingawa hili ni left hand. Hata hivyo kwa kwa mazingira ya nyumbani, nimeonelea kuwa hilo hilux ndilo litanitosha kwenye mishe zangu huko kijijini kwa miaka kama 15 ijayo. Unataka kujua nini zaidi?
 
Wala swali langu sio la kijinga, ulitakiwa kujibu tuu kwamba unalimudu..

Pia kwa US na nchi za ulaya kumiliki gari zuri n very affordable as compared to tz hii n kutokana na kodi ya gari kuwa kubwa almost half of vehicles price so hufanya thamani ya gari kuongezeka zaidi..
 
Kwamba nalimudu au silimudu na gharama za kulipa kodi siyo swala lako. Niliuliza ili kunisaidia katika kuweka bajeti yangu sawasawa tu. Nimeshwasiliana na wauzaji huko Japan nao wamenipa ushauri ambao naufanyia kazi.

Siyo kwamba nikiwa Marekani niendeshe gari zuri halafu nikirudi nyumbani niendeshe mkoko wa kunifanya nikumbuke gari nililoacha Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…