Kuagiza gari nje ya nchi ujipange (2024/25 FY)

Kuagiza gari nje ya nchi ujipange (2024/25 FY)

Viongozi waliopo madarakani uwezo wao wa kubuni vyanzo vya mapato ni mdogo hasa,na hii ndio inaonyesha vile akili zilizotokana na hii elimu yetu ya hovyo isivyokua na maana yoyote
 
Waeleze kwa mifano kuwa ile gari tunayo idharau sana watanzania, MWIGULU kaifikisha hapa. Na sasa hivi kuagiza mwenyewe lazima zikutoke 18M ukiogopa ukaenda Yard nenda na 20M
View attachment 3021409
Mnaidharau kwa upumbavu wenu, (mazda verisa, vits model zote, passo model zote, Honda Fit, swift, demons, na ndugu zake akina note, Toyota Porte na jamaa zake akina terrios)

Hakuna gari ya kuipiku Ist hapo, hata akina Raum na spacio wanakalishwa vzuri tuu, tht why mm naona wanaoiponda IST ni malimbukeni km malimbukeni wengine tuu
 
Waziri anakoipeleka Nchi anajua mwenyewe kila kukicha kodi inaongezeka kwenye magari badala ya kupunguza ili Wananchi watumie vyuma vizuri kama wao yeye anataka yeye tu ndio atumie gari za maana ila Wananchi wajibane kwenye bajaji na boda boda wakati gari nje huku bei ya kuokota tu..ukitaka kununua gari ya kuja Tanzania unaanza kuangalia TRA wanasemaje wakati Zambia wana kodi rafiki sana na wanatumia gari nzuri kuliko wenye Bandari...
CCM mbele kwa mbele
 
Sijajua jibu lako lina maana gani; kuna watu wengine mnadakaia mambo kijinga sana. Sasa "THUBUTU YAKO" maana yake ni nini.

Mimi nilimwuliza byakunu anifanyie makabdirio ya gari hii, ambayo CIF yake ni $33,465

View attachment 3027874
Yeye akanieletea mrejesho huu ambao umetumia CIF US$19,627

View attachment 3027876

Sasa nilipomwuliza iwapo gari ikishafika afisa wa customs anaweza kuja na namba inayozidi hapo kutokana na kuwa CIF value ya kjwenye bill of lading itakuwa ni juu ya hiyo namba iliyotumika kwenye calculations za makadirio, wewe unakuja na jibu la kijinga tu -eit "THUBUTU YAKO". Kama ulikuwa hujui swali lilolulizwa usijaribu kulijibu kwani utajionyesha ujinga wako.
Brother hii gari unaweza nunua au unasumbua watu tuu
 
Brother hii gari unaweza nunua au unasumbua watu tuu
kwa nini unaniuliza hivyo; swali la kijinga sana hilo.

Gari ninaloendesha hapa marekani ni la bei kubwa sana kuliko hilo Toyota Hilux ingawa hili ni left hand. Hata hivyo kwa kwa mazingira ya nyumbani, nimeonelea kuwa hilo hilux ndilo litanitosha kwenye mishe zangu huko kijijini kwa miaka kama 15 ijayo. Unataka kujua nini zaidi?
 
Wala swali langu sio la kijinga, ulitakiwa kujibu tuu kwamba unalimudu..

Pia kwa US na nchi za ulaya kumiliki gari zuri n very affordable as compared to tz hii n kutokana na kodi ya gari kuwa kubwa almost half of vehicles price so hufanya thamani ya gari kuongezeka zaidi..
 
Kwamba nalimudu au silimudu na gharama za kulipa kodi siyo swala lako. Niliuliza ili kunisaidia katika kuweka bajeti yangu sawasawa tu. Nimeshwasiliana na wauzaji huko Japan nao wamenipa ushauri ambao naufanyia kazi.

Siyo kwamba nikiwa Marekani niendeshe gari zuri halafu nikirudi nyumbani niendeshe mkoko wa kunifanya nikumbuke gari nililoacha Marekani.
 
Back
Top Bottom