Chasisi ndo gari utailipia sawa sawa na kodi ya gari, labda upate chasisi nyingine huku.Habari za jioni wakuu , nimeangalia kikokotoo Cha TRA kuhusiana na uagizwaji wa scania P420 8x4 skip loader ya 2011 na Kodi yake imekuja wa kutosha almost 82,000,000Tsh
Sasa nilikuwa Nauliza kwa wajuzi kuwa inawezekana ukaagiza gari ambayo ikatenganishwa cabin , engine na Chasis ili kuja kuunganisha huku na pia kwa upande wa Kodi inakuwaje
Na pia kama Kuna maelezo ya ziada kuhusu ilo itakuwa vizuri zaidi
Asanteni wakuu , nawatakia Pasaka njema
chassis kama ikiwa peke yake inalipishwa kama spare tu, ila usije kajaribu kutenganisha chassis engine na cabin halafu vikaja kama mzigo wa pamoja, lazima utalipa kodi ya gari nzima.Chasisi ndo gari utailipia sawa sawa na kodi ya gari, labda upate chasisi nyingine huku.
Fungua NGO, au taasisi inayodeal na elimu ,kilimo au afya. Ukishamaliza nunua gari na ifanye kuwa mali ya taasisi haulipi ushuru ndugu unaserereka. Kuna wanasheria wanakusaidia, ukienda tra ukiwambia unataka tax exemption certificate watakueleza. Kaizerege basi zake na magari yake ya kutembelea ni mali ya shule kwa hio hajalipa ushuru. Watu LC300 hawalipii kodi sembuse lori ndugu yangu changamka.Habari za jioni wakuu , nimeangalia kikokotoo Cha TRA kuhusiana na uagizwaji wa scania P420 8x4 skip loader ya 2011 na Kodi yake imekuja wa kutosha almost 82,000,000Tsh
Sasa nilikuwa Nauliza kwa wajuzi kuwa inawezekana ukaagiza gari ambayo ikatenganishwa cabin , engine na Chasis ili kuja kuunganisha huku na pia kwa upande wa Kodi inakuwaje
Na pia kama Kuna maelezo ya ziada kuhusu ilo itakuwa vizuri zaidi
Asanteni wakuu , nawatakia Pasaka njema
Dah!!Fungua NGO, au taasisi inayodeal na elimu ,kilimo au afya. Ukishamaliza nunua gari na ifanye kuwa mali ya taasisi haulipi ushuru ndugu unaserereka. Kuna wanasheria wanakusaidia, ukienda tra ukiwambia unataka tax exemption certificate watakueleza. Kaizerege basi zake na magari yake ya kutembelea ni mali ya shule kwa hio hajalipa ushuru. Watu LC300 hawalipii kodi sembuse lori ndugu yangu changamka.
Haya mambo kama hutumii pombe sikulaumu. Ila kama unakunywa mara moja moja katika baa mbali mbali hapa mjini na hujui acha pombe au badili watu unaokunywa nao. Mimi mwenyee nilikuwa siamini ila nimetekeleza.Dah!!
Asante mkuu nimekupata , makadirio ya Kodi mfano kwa Chasis tu , wanakadiria wenyewe au Kuna criteria maalum za kuzingatia?chassis kama ikiwa peke yake inalipishwa kama spare tu, ila usije kajaribu kutenganisha chassis engine na cabin halafu vikaja kama mzigo wa pamoja, lazima utalipa kodi ya gari nzima.
By the way, kodi kwenye rigids body hasa hizo 8x4 ni kichaa, na usiombe iwe skip loader
Hii nimewahi kuiskia mkuu , Asante kwa kutukumbusha TenaFungua NGO, au taasisi inayodeal na elimu ,kilimo au afya. Ukishamaliza nunua gari na ifanye kuwa mali ya taasisi haulipi ushuru ndugu unaserereka. Kuna wanasheria wanakusaidia, ukienda tra ukiwambia unataka tax exemption certificate watakueleza. Kaizerege basi zake na magari yake ya kutembelea ni mali ya shule kwa hio hajalipa ushuru. Watu LC300 hawalipii kodi sembuse lori ndugu yangu changamka.
Duuuuh, kumbe kuna loophole hiiFungua NGO, au taasisi inayodeal na elimu ,kilimo au afya. Ukishamaliza nunua gari na ifanye kuwa mali ya taasisi haulipi ushuru ndugu unaserereka. Kuna wanasheria wanakusaidia, ukienda tra ukiwambia unataka tax exemption certificate watakueleza. Kaizerege basi zake na magari yake ya kutembelea ni mali ya shule kwa hio hajalipa ushuru. Watu LC300 hawalipii kodi sembuse lori ndugu yangu changamka.
Hii ni uhakika kwa magari ya mizigo, matrekta, mabasi ya shule, ambulance n.k. Lakini kama ukiandika objective ya gari lako vizuri unaweza ukapitisha hadi LC 300 bila kodi 100%. Disadvantage ya hii, taasisi ikifilisika gari inachukuliwa na banki maana inakuwa ni mali ya taasisi na si mali yako binafsi.Duuuuh, kumbe kuna loophole hii
Ok , na kwenye kufanya transfer of ownership Badae inaleta shida au inakuwaje mkuu?Hii ni uhakika kwa magari ya mizigo, matrekta, mabasi ya shule, ambulance n.k. Lakini kama ukiandika objective ya gari lako vizuri unaweza ukapitisha hadi LC 300 bila kodi 100%. Disadvantage ya hii, taasisi ikifilisika gari inachukuliwa na banki maana inakuwa ni mali ya taasisi na si mali yako binafsi.
Naona kama Gharama, kwa sababu kule ni gari nzima ambayo inakuwa dissembled , sasa ukisema kuchukua Vingine vyote kasoro Chasis itakuwa haitasaidia kitu na Bei za huku utakuta ni Heri kuichukua ileileChasis zipo bongo we agiza izo parts za ilo roli linasukwa hapa bongo.
Chassis iwe yote na namba zake sidhani kama utalipia kama Spare mkuu fatilia vizuri hili naona watu wanakata vipande cha muhimu ndio wanabeba cha mbele au cha nyuma Chassis ni gari haiwezi Kuja skeleton harafu wakuache labda uichanganye kwenye mzigo isionekane wakiiona wanasema shusha lile gari lilipiwe kodi watu wameziacha sana hapo Songwe boda wakitoka nazo Malawi..chassis kama ikiwa peke yake inalipishwa kama spare tu, ila usije kajaribu kutenganisha chassis engine na cabin halafu vikaja kama mzigo wa pamoja, lazima utalipa kodi ya gari nzima.
By the way, kodi kwenye rigids body hasa hizo 8x4 ni kichaa, na usiombe iwe skip loader
Anadhani TRA ni wajinga awakwepe kirahisi hivyoChasisi ndo gari utailipia sawa sawa na kodi ya gari, labda upate chasisi nyingine huku.
Nafikiri Anamaanisha Chasis ambayo imetolewa Cabin , Engine , Gearbox , Diff nk ipo yenyewe as a frame ,labda anisahihisheChassis iwe yote na namba zake sidhani kama utalipia kama Spare mkuu fatilia vizuri hili naona watu wanakata vipande cha muhimu ndio wanabeba cha mbele au cha nyuma Chassis ni gari haiwezi Kuja skeleton harafu wakuache labda uichanganye kwenye mzigo isionekane wakiiona wanasema shusha lile gari lilipiwe kodi watu wameziacha sana hapo Songwe boda wakitoka nazo Malawi..
Banki inakujaje kuchukua mali za NGO?Hii ni uhakika kwa magari ya mizigo, matrekta, mabasi ya shule, ambulance n.k. Lakini kama ukiandika objective ya gari lako vizuri unaweza ukapitisha hadi LC 300 bila kodi 100%. Disadvantage ya hii, taasisi ikifilisika gari inachukuliwa na banki maana inakuwa ni mali ya taasisi na si mali yako binafsi.
Transfer of ownership inakuwa kama kununua magari ya serikalini inabidi ulipe ushuruOk , na kwenye kufanya transfer of ownership Badae inaleta shida au inakuwaje mkuu?
Kama ulikopa bank kwa kutumia jina la taasisi na mali za taasisi inabidi ziuzwe gari inakuwa sio mali yako. Hii nimeshuhudia kwenye mashule na mahospitali.Banki inakujaje kuchukua mali za NGO?
Kama mimi ndiye mwanzilishi wa NGO, siwezi ku declare kifo cha taasisi.
Na hata ikitokea bankruptcy naweza kuhamisha mali zake kwenda organization nyingine.