Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Hii imefika kwa Tsh 126m ikiwa imelipiwa kodi ya 34.7 kwa 6×4 ya 2015.Kama iyo bei gan mpaka inafika tanzania ikiwa imelipiwa kila kitu
Zipo R 480 za miaka ya 2010 zinafika Tsh 105m
R 480 ya 2012 inafika Tsh 110m.
P pia bei hizo hizo kwa miaka hiyo hiyo.
Truck zenye mguu wa jini hasa zipo P kodi zipo sawa ila bei SA ipo chini kidogo..
Wiki ijayo tukijaaliwa uzima ntakua SA ukiwa serious tuwasiliane nina uwezo pia unalipia gari ikifika Tunduma ila uwe serious kweli sio nafatilia gari huku wewe mipango yako ya kununua karibuni bado.