aAllen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 279
- 366
Kumbe!Fungua NGO, au taasisi inayodeal na elimu ,kilimo au afya. Ukishamaliza nunua gari na ifanye kuwa mali ya taasisi haulipi ushuru ndugu unaserereka. Kuna wanasheria wanakusaidia, ukienda tra ukiwambia unataka tax exemption certificate watakueleza. Kaizerege basi zake na magari yake ya kutembelea ni mali ya shule kwa hio hajalipa ushuru. Watu LC300 hawalipii kodi sembuse lori ndugu yangu changamka.