Kuagiza Lorry kama spare kutoka nje ya nchi ili kupunguza makali ya Kodi

Kumbe!
 
Nafikiri Anamaanisha Chasis ambayo imetolewa Cabin , Engine , Gearbox , Diff nk ipo yenyewe as a frame ,labda anisahihishe
Hiyo tunaita skeleton unalipia kodi wengi wanakata hiyo inakuja kipande kipande cha nyuma ananunua huku..
 
Transfer of ownership inakuwa kama kununua magari ya serikalini inabidi ulipe ushuru
Sema ushuru utapungua kama imetumika ndani kwa miaka kadhaa unaangaliwa ule ushuru uliotakiwa kulipwa harafu wanakokotoa depreciation yake baadae wakitoa ndio unalipia ushuru wake halisi hapo ambao unapungua sana..
 
Hii imekaa vizuri
 
Sio kufirisika Tu ata ukitaka kuiuza.....TRA watakuzoom Tu
 
Huu ni uhujumu uchumi.haina tofauti na uhaini
 
Inawezekana japo inabidi uwe genuine Sana , Kuna gari zinapita ajali na kuharibu chassis na watu wanaunua chassis south ikiwa na namba kabisa Ana inalipishwa kama spare.
Jqo kwa tunduma inabidi ujieleze Sana na ushahidi
 
Huku unaweza kurekebisha hiyo gari sema ili ije kama parts ni lazima iwe nusu kwa maana unakuja kuunga kipande huku chenye usajiri ni rahisi ila ikija yote ni changamoto
 
Kwahiyo kitakachokuja huku nini ?
 
Kwahiyo kitakachokuja huku nini ?
Gari lote kasoro skeleton ambayo mnaita chassis ila mfumo wa miguu yote unabeba huku unanunua skeleton ambayo itavalishwa hivyo vitu ulivyonunua huko na hiyo skeleton inakua na namba kabisa ni kubadili umiliki tu na unachukual iliyopata ajali hapo unakua upo kisheria zaidi..
 
Asante mkuu nimekuelewa vema
 
Bro kwema ! Una experience ya kuagiza trucks kwa kina law exports/ mm acquisitions/ au Grc commercials? Naomba kujua taratibu. Za mwanzo Hadi gari inafika bongo
Thanks
 
Kwema mkuu gari naleta kutoka SA mwenyewe hizi Scania G 460 na R 480 za miaka ya karibuni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…