kitabakilo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 319
- 570
Kweli kabisa Diesel ipo juu kutokana na demand yake ipo juu,automatic ambayo ni Petroli ata madereva watalikimbia maana hakuna faida,mimi langu ushuru ulikuwa almost 9.5ml na kulinunua ilikuwa $6800(CIF)
$6800 (CIF) Hyo cif ndo nini mm nimeweka oda moja ya diesel manual $6300 ila bdo cjaenda kulipia 7bu nataka nijue kwanza ghalama ya ushulu araf pia umenipa ujanja nitawaambia watoe viti
Je hyo CIF ndo nini mm ndo first time naagiza gari tuseme kumiliki gari nshazoea pkpk na bajaj nanunua kkoo