Kuagiza Toyota Hiace (Daladala) kutoka Japan (Used Car)

Kuagiza Toyota Hiace (Daladala) kutoka Japan (Used Car)

Kweli kabisa Diesel ipo juu kutokana na demand yake ipo juu,automatic ambayo ni Petroli ata madereva watalikimbia maana hakuna faida,mimi langu ushuru ulikuwa almost 9.5ml na kulinunua ilikuwa $6800(CIF)

$6800 (CIF) Hyo cif ndo nini mm nimeweka oda moja ya diesel manual $6300 ila bdo cjaenda kulipia 7bu nataka nijue kwanza ghalama ya ushulu araf pia umenipa ujanja nitawaambia watoe viti
Je hyo CIF ndo nini mm ndo first time naagiza gari tuseme kumiliki gari nshazoea pkpk na bajaj nanunua kkoo
 
Labda unaishi tu ila hutembei na sintokuambia kwa kuwa hutembei ita kuwa kazi bure
 
Wote hamju hiace zimejaa pale mwananyamara zinauzwa bei pooooooaaaaaa

Bora hata Dubai,lakini Mwananyamara ni ghali saana,yaani Hiace inaanzia 50m kwenda mbele.Na uskani wake ni Ungo,na viti ni fagio.Kwa msiofaham sehem hiyo ni Mji Mkuu wa Makaburini
 
ushauri tu wa bure mleta mada!agiza hiace yenye engine ya 2L au 1kz hutakaa ujutie pesa yako!nimetumia 3L,5L najua mapungufu yake!ila 2L na 1kz ndio mashine ngumu zaidi!,ukitaka nissqn caravan agiza yenye engine ya TD 27 hutakaa ujutie
 
Mtoa mada ndio hajaeleweka ndio maana amepewa makisio tofauti,wengine wanaagiza hiace ambazo ni auto na ni Petroli (Bei lazima iwe ndogo japo si nzuri kibiashara)Ukiagiza high roof 5l engine 2005 model Manual Diesel ni around 30ml,ukilitolea viti ushuru unapungua kidogo maana utaingiza kama van.

Nashukuru Ndugu kwa kunifumbua macho; now umenipa point ya kwanza kuagiza ambayo ni MANUAL, pili DIESEL na tatu nilitolee Viti...Ubarikiwe sana kwa mwangaza wako.

Na je,hivyo viti;;vitolewe vile vya nyuma tu au hadi kwa Dereva(Nauliza naomba kujua,Naomba usinicheke;ahhahaaahha; si unajua methali "Asiye uliza ahambiwi maana"...Mimi nauliza sasa,Niambiwe maana)))

Ubarikiwe sana.
 
Mtoa mada ndio hajaeleweka ndio maana amepewa makisio tofauti,wengine wanaagiza hiace ambazo ni auto na ni Petroli (Bei lazima iwe ndogo japo si nzuri kibiashara)Ukiagiza high roof 5l engine 2005 model Manual Diesel ni around 30ml,ukilitolea viti ushuru unapungua kidogo maana utaingiza kama van.

Vp kuhusu 2L au 1kz kama ilivyochangiwa na ndugu yetu mmoja (Mtoto Tajiri)...????

Unaweza ilinganishaje na hiyo ya 5L...?
 
Ila nivizuri mtoa mada ukaingia kwenye site za wauzaji wenyewe..
Kama SBT japan,Beforward.jp
Unachagua gari unayotaka then unaenda ofisini kwao unaagiza.
Nadhani ndio njia nzuri

Usemacho ni Vizuri, but ni Vizuri pia kupata ushauri kwa wazoefu na wajuzi wa mambo.Unajua mtu unaweza kurupuka ikawa majuto mbeleni.

Pamoja mkuu.
 
Kweli kabisa Diesel ipo juu kutokana na demand yake ipo juu,automatic ambayo ni Petroli ata madereva watalikimbia maana hakuna faida,mimi langu ushuru ulikuwa almost 9.5ml na kulinunua ilikuwa $6800(CIF)

Uliagiza kwa kutumia hawa "BeForward"??
 
Ndiyo maaana yake sasa tofauti ya laki tano au 2 ujipatishe tabu hivyo

Mbona kuna mtu amesema,Hapo kuna bei sana.Na hiyo tofauti uliyosem ni ndogo,by the way Noamba unielekeze ni sehem gani nikaone. Alafu vipi ni yale yale used uko Japan? Au hata Bongo yameshatumika?
 
Labda unaishi tu ila hutembei na sintokuambia kwa kuwa hutembei ita kuwa kazi bure

Ahhahahhhhah...Usifanye hivyo, kwani tunaotaka kujua ni wengi mkuu. Msaada wako unahitajika.
 
Back
Top Bottom