kitabakilo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 319
- 570
Kweli kabisa Diesel ipo juu kutokana na demand yake ipo juu,automatic ambayo ni Petroli ata madereva watalikimbia maana hakuna faida,mimi langu ushuru ulikuwa almost 9.5ml na kulinunua ilikuwa $6800(CIF)
Labda unaishi tu ila hutembei na sintokuambia kwa kuwa hutembei ita kuwa kazi bure
Wote hao malofa watakupotosha tu. Mie nakushauri uonane na wale walioagiza tayari. Angalia mwenyewe mara 22,000,000/= mwingine 30,000,000/=!! Kama si malofa ni nini?
Ni pm mimi.
Wote hamju hiace zimejaa pale mwananyamara zinauzwa bei pooooooaaaaaa
Mwananyamala gan mm naishi huko
We nae acha kudandia,yeye amesema Mwananyamara na sio huko kwenu Mwananyamala
Mtoa mada ndio hajaeleweka ndio maana amepewa makisio tofauti,wengine wanaagiza hiace ambazo ni auto na ni Petroli (Bei lazima iwe ndogo japo si nzuri kibiashara)Ukiagiza high roof 5l engine 2005 model Manual Diesel ni around 30ml,ukilitolea viti ushuru unapungua kidogo maana utaingiza kama van.

Nataka kuagiza na mm lkn sasa mbna mnchanganya ipi ni sahii ml 30 au ml 22
Ila nivizuri mtoa mada ukaingia kwenye site za wauzaji wenyewe..
Kama SBT japan,Beforward.jp
Unachagua gari unayotaka then unaenda ofisini kwao unaagiza.
Nadhani ndio njia nzuri
Kweli kabisa Diesel ipo juu kutokana na demand yake ipo juu,automatic ambayo ni Petroli ata madereva watalikimbia maana hakuna faida,mimi langu ushuru ulikuwa almost 9.5ml na kulinunua ilikuwa $6800(CIF)
Ndiyo maaana yake sasa tofauti ya laki tano au 2 ujipatishe tabu hivyo
ushauri tu wa bure mleta mada!agiza hiace yenye engine ya 2L au 1kz hutakaa ujutie pesa yako!nimetumia 3L,5L najua mapungufu yake!ila 2L na 1kz ndio mashine ngumu zaidi!,ukitaka nissqn caravan agiza yenye engine ya TD 27 hutakaa ujutie