Kuagiza Toyota Hiace (Daladala) kutoka Japan (Used Car)

ushauri tu wa bure mleta mada!agiza hiace yenye engine ya 2L au 1kz hutakaa ujutie pesa yako!nimetumia 3L,5L najua mapungufu yake!ila 2L na 1kz ndio mashine ngumu zaidi!,ukitaka nissqn caravan agiza yenye engine ya TD 27 hutakaa ujutie

Mtoto tajiri,upooo
Mbona mie naona 5l ni bora kuliko 1kz?
Halafu 2L zipo juu sana na ni tabu sana kuzipata,maana hata hapa Zanzibar ni tabu sana kuzipata,zimejaa 3L kibao na 5L
 

Hiyi Diesel Manual, umeipata kwenye Website gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…