Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
ushauri tu wa bure mleta mada!agiza hiace yenye engine ya 2L au 1kz hutakaa ujutie pesa yako!nimetumia 3L,5L najua mapungufu yake!ila 2L na 1kz ndio mashine ngumu zaidi!,ukitaka nissqn caravan agiza yenye engine ya TD 27 hutakaa ujutie
Mtoto tajiri,upooo
Mbona mie naona 5l ni bora kuliko 1kz?
Halafu 2L zipo juu sana na ni tabu sana kuzipata,maana hata hapa Zanzibar ni tabu sana kuzipata,zimejaa 3L kibao na 5L