Kuagiza Toyota Hiace (Daladala) kutoka Japan (Used Car)

Geniustin

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
4,371
Reaction score
2,834
Msaada wenu waungwana,Naomba kuuliza; unagizaji wa Daladala kutoka Japan (Used) inagharimu shilling ngapi? Na je,hadi kutoa pale Bandari ya Dar-es-Salam naweza kutumia Kiasi gani?

Msaada ndugu zangu kwa uzoefu wenu na uelewa.

Thanks in Advance.
 
Nataka kuagiza na mm lkn sasa mbna mnchanganya ipi ni sahii ml 30 au ml 22
 
Wote hao malofa watakupotosha tu. Mie nakushauri uonane na wale walioagiza tayari. Angalia mwenyewe mara 22,000,000/= mwingine 30,000,000/=!! Kama si malofa ni nini?
 
Msaada wenu waungwana,Naomba kuuliza; unagizaji wa Daladala kutoka Japan (Used) inagharimu shilling ngapi? Na je,hadi kutoa pale Bandari ya Dar-es-Salam naweza kutumia Kiasi gani?

Msaada ndugu zangu kwa uzoefu wenu na uelewa.

Thanks in Advance.

Ni pm mimi.
 
Wote hao malofa watakupotosha tu. Mie nakushauri uonane na wale walioagiza tayari. Angalia mwenyewe mara 22,000,000/= mwingine 30,000,000/=!! Kama si malofa ni nini?
Acha u..s..e..n..g..e wewe! Hujui bei za magari used zinatofautiana? Hapo umepewa range kwamba kuanzia 22M-30 kutokana na ubora wa gari unayoitaka. Yan kuna lower boundary na upper boundary. Au kiwango cha chini kabisa na kiwango cha juu. Wote hapo wako sahihi, wa 22 huenda kasahau kwamba dola imepanda thamani hivyo utahitaji Tsh nyingi zaidi kupata kitu kile kile ambacho ungekipata kwa unafuu mathalani mwaka mmoja uliopita.
 
Wote hao malofa watakupotosha tu. Mie nakushauri uonane na wale walioagiza tayari. Angalia mwenyewe mara 22,000,000/= mwingine 30,000,000/=!! Kama si malofa ni nini?

Mtoa mada ndio hajaeleweka ndio maana amepewa makisio tofauti,wengine wanaagiza hiace ambazo ni auto na ni Petroli (Bei lazima iwe ndogo japo si nzuri kibiashara)Ukiagiza high roof 5l engine 2005 model Manual Diesel ni around 30ml,ukilitolea viti ushuru unapungua kidogo maana utaingiza kama van.
 
Kwa hyo mkubwa ya diesel ndo mzuri km kuchagua nichague ya diesel na iwe manual ndo poa kibiashala hapo nimekusoma kaka ndo mana hta mtandaoni ukicheki unakuta bei juu
 
Mtoa mada ndio hajaeleweka ndio maana amepewa makisio tofauti,wengine wanaagiza hiace ambazo ni auto na ni Petroli (Bei lazima iwe ndogo japo si nzuri kibiashara)Ukiagiza high roof 5l engine 2ooqqqqqq005 model Manual Diesel ni around 30ml,ukilitolea viti ushuru unapungua kidogo maana utaingiza kama van.
Mkuu,
Unaweza ukanisaidia makisio ya kutoa Hiace au Nissan Caravan Dubai CIF Zanzibar itakua ngapi? Pia ukinisaidia na reliable dealers hapo Dubai itakua poa sana!!
 
Ila nivizuri mtoa mada ukaingia kwenye site za wauzaji wenyewe..
Kama SBT japan,Beforward.jp
Unachagua gari unayotaka then unaenda ofisini kwao unaagiza.
Nadhani ndio njia nzuri
 
Kwa hyo mkubwa ya diesel ndo mzuri km kuchagua nichague ya diesel na iwe manual ndo poa kibiashala hapo nimekusoma kaka ndo mana hta mtandaoni ukicheki unakuta bei juu

Kweli kabisa Diesel ipo juu kutokana na demand yake ipo juu,automatic ambayo ni Petroli ata madereva watalikimbia maana hakuna faida,mimi langu ushuru ulikuwa almost 9.5ml na kulinunua ilikuwa $6800(CIF)
 
Ndiyo maaana yake sasa tofauti ya laki tano au 2 ujipatishe tabu hivyo
 
Back
Top Bottom