Kuahirishwa kwa Simba na Yanga ni failure ya

Simba au yanga

  • Simba

    Votes: 6 31.6%
  • Yanga

    Votes: 9 47.4%
  • Simba na yanga

    Votes: 4 21.1%

  • Total voters
    19
JPM angekuwepo huu ujinga usingekuwepo.
 
Mahakama zipo
 
Tff mnawaonea, usimamizi upo wizara ya michezo ambao ndio umetoa maamuzi.
 
Reactions: mmh
Mleta mada hizo options umeleta kwa vote hapo juu hazijitoshelezi.
 
dah, kuna watu wamekwama sana.....naikumbuka ile methali inayosema 'mtu anayezama majini anweza kuishikilia hata kijiti kimoja cha toothpick akiamini kitamuokoa'.

kila jambo sasa, hata liwe la kipuuzi kiasi gani, 'wapigania legacy' lazima watapetape katika kumshushia mzigo mama. inshaAllah, kwa uwezo wa Mungu zitampita mbali fitna hizi za kishetani!!
 
Sioni kisanduku kingine hapo, nahisi bado viwili!! Nimeshindwa kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…