Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Piga kura hapo juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM angekuwepo huu ujinga usingekuwepo.Wadau
Nimesikitishwa sana na hili tukio la leo
Kuna usumbufu mkubwa kutokana na hili
1. Kuna watu wamelipia kuingia uwanjani..hili litakuaje?
2. Kuna watu walisafiri kutoka mbali?
3.n.k
Je ni kweli Magu kaondoka kaacha kila kitu shakala bagala, yaan ujanja unarudi matokeo yake ndio haya?
Toa maoni yako
Mahakama zipoWadau

Wewe kichaa nini?JPM ntamkumbuka maisha
Sioni kisanduku kingine hapo, nahisi bado viwili!! Nimeshindwa kupiga kuraWadau
Nimesikitishwa sana na hili tukio la leo
Kuna usumbufu mkubwa kutokana na hili
1. Kuna watu wamelipia kuingia uwanjani..hili litakuaje?
2. Kuna watu walisafiri kutoka mbali?
3.n.k
Je ni kweli Magu kaondoka kaacha kila kitu shakala bagala, yaan ujanja unarudi matokeo yake ndio haya?
Toa maoni yako
TFF walipaswa kukaidi maagizo ya Wizara?Wapumbafu TFF