Kuahirishwa kwa Simba na Yanga ni failure ya

Kuahirishwa kwa Simba na Yanga ni failure ya

Simba au yanga

  • Simba

    Votes: 6 31.6%
  • Yanga

    Votes: 9 47.4%
  • Simba na yanga

    Votes: 4 21.1%

  • Total voters
    19
Kwa kilichotokea leo, Simba wapo sahihi, Yanga pia wapo sahihi, TFF nao wapo sahihi, ila Yanga wamefanya mambo ya kitoto
 
Yanga walaumiwe kwa kususia Mechi na pia waporwe pointi tatu muhimu
 
Na
Hapana sio chuki. Hembu tafakali hili suala kwa umakini
Mama kahusika wapi na lini ,acheeni kumdhihaki mama ,taka msitake mama ndio rais na kwa taarifa yako huenda akawa ndio Rais anaekubalika zaidi na watanzania wote hata JK wa 2005 bado hajamfikia
 
Uchawi uliokuwa unafanyika pale uwanjani wangekufa wengi. Niko na Wizara ya Michezo kuepusha maafa.
 
Je kuna ushahidi Mama alihusika kuahirishwa Mechi hiyo.
Ushahidi hakuna

But its possibly YES she is responsible. Bashungwa Kama Bashungwa ana mandate gani ? ya kutoa maagizo kwa TFF ya ku'postpone ratiba ya mchezo bila kua na sababu nje ya uwezo wake ?
Je ni ipi hio kama sio KITABU

Look, two things are involved here

-Either ni Bashungwa mwenyewe kutaka tuu kuonesh u'hard work kwa kumheshimu mama na event yake
-Or Raisi Samia yeye tuu aliamuru mchezo upelekwe mbele apate nafasi nzuri ya tukio lao hilo au kwa sababu zake nyingine
 
Wadau
Nimesikitishwa sana na hili tukio la leo
Kuna usumbufu mkubwa kutokana na hili
1. Kuna watu wamelipia kuingia uwanjani..hili litakuaje?
2. Kuna watu walisafiri kutoka mbali?
3.n.k
Je ni kweli Magu kaondoka kaacha kila kitu shakala bagala, yaan ujanja unarudi matokeo yake ndio haya?
Toa maoni yako
Serikali yetu inataka kutuamisha timu za simba na Yanga ni Mali zake, haiwezekan mashabiki wajazane uwanjani, saa Tatu kabla ya mechi unatoa tangazo la kuahirisha mechi bila ya kukutanisha pande mbili.
 
Back
Top Bottom