Sex addict
JF-Expert Member
- Feb 21, 2023
- 902
- 1,815
Mi wala hata sijamaliza masomo mkuu [emoji19]Endelea kunengeneka.... kama unafanya kazi serikalini tambua nakulisha maana kodi yangu we ndo unalipwa mshahara
Endelea kupiga kitabu..ila sio unatoka chuo unaanza kulia njaa na elimu yako. Toka chuo uje kukomboa jamiiMi wala hata sijamaliza masomo mkuu [emoji19]
Hivyo nikuwie radhi
Ila kama una mafanikio kongole kwako
👍Endelea kupiga kitabu..ila sio unatoka chuo unaanza kulia njaa na elimu yako. Toka chuo uje kukomboa jamii
Lazima ueapende ndondocha wako waliofugwa kukuletea pesa[emoji3]Hii mijadala huwa sioni tija yake, maana hata ukijiajiri, utaishia kuajiri watu. Sasa ukiwa unaimba utumwa wa wengine kila siku unakuwa ni upungufu wa akili, au haujiamini kwenye kujiajiri kwako au vyote kwa pamoja.
Kifupi mimi nawaheshimu sana waajiriwa, hawa ndo wanafanya niingize pesa hata nikilala kitandani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lazima ueapende ndondocha wako waliofugwa kukuletea pesa[emoji3]
Unaingiza sh ngapi kwa siku?Mrejesho gani.. me nimejiajiri siendeshwi .. kuajiriwa utumwa maanake huwezi kuwa huru. Mwajiri wako akikuhitaji saa nane usiku lazima uende mzee
Mo Dewji ni BUSINESS OWNER, People work for Him... Mtofautishe na wewe ambaye bila kwenda kwenye hiyo biashara yako huingizi hela.we unachekesha sasa kwahiyo unajua maana ya boss na mfanyakazi au?
ukijiajiri we unakuwa na sifa mbili mfanyakazi na boss . Mfano Kwahiyo Mo dewji yuko kiwandani anatengeneza JUICE au?
Nani huyo... kwani mo nani malaika auMo Dewji ni BUSINESS OWNER, People work for Him... Mtofautishe na wewe ambaye bila kwenda kwenye hiyo biashara yako huingizi hela.
Yaani wewe umefungua kaduka kako unajiweka level moja na Mo?
Mo Hajajiajiri... Mo Ameajiri. Know the difference!Nani huyo... kwani mo nani malaika au
Watu wanadhani ukijiajiri utaamka saa tatu asubuhi utakapoijisikia na utafanya tu kila kitu kama unavyotaka.Unajua kwamba kisheria, kampuni inatambulika kama mtu yenye mali na madeni yake
Bhasi jua hivi, ukiajiriwa unakuwa mtumwa kwa boss ila ukijiajiri unakuwa mtumwa wa biashara yako
Hakuna unafuu hapo
😁😁😁Huyu mwamba siku ya leo katoa nyuzi 43 mpka sasa hv saa sita kasoro 5fundi bishoo , ya ngapi hii ? 34 au ?
fundi bishoo ana hesabu nyuzi tu, ya mwisho niliona aliishia 30 ( kwa leo )
nimecheka
Mwamba kapga nyuzi 43 kwa siku ya lEofundi bishoo ana hesabu nyuzi tu, ya mwisho niliona aliishia 30 ( kwa leo )
nimecheka mbaya
Siyo malaika ila eti, tu sababu unafanya biashara basi, utulivu wenu au mihangaiko yenu mnafanana, Kazi yangu, mimi hata kama nimeajiriwa iwe siyo bora kuliko, ndugu zangu wale wafanya biashara wadogo wanaopigwa na vumbi pamoja na jua.Nani huyo... kwani mo nani malaika au
Yaani muda wa vipi, sijui biashara gani, anataka kufanya ili apate muda wa kula bata, labda biashara ya Daladala, ajenge nyumba za kupangisha, amiliki bajaji na boda hizo ndizo zitampa muda kula bata, yeye ni hesabu tu.Kuna "boya" mmoja ni mshikaji wangu sana, ni mtumishi wa serekale tupo tunapiga bia ananambia mkuu nataka niache kazi nijiajiri kama wewe. Nikamuuliza kwanini unataka kujiajiri, akasema nataka kuwa huru na kuwa na muda na kula bata na kupata hela. Sikumjibu, akasala nikamwambia we kula bia tulewe tukalale[emoji16]
Mwamba anataka awe na muda,awe huru,ale bata na hapo hapo apate na hela. [emoji16]
Usipaniki dadangu. Mie sikukutuma ukalambe watu viatu,we endelea tu huko kuuza akili na uhuru wako kwa mwenye akili.Inaonekana umesota sana kutafuta kazi bila mafanikio, pole sana. Na pia uache makasiriko kwa watu wanaoendesha maisha yao kwa mishahara/vipato vyao wanavyo vitolea jasho.
Wewe mwenyewe hapo umelipiwa ada na kulishwa kwa mishahara ya wazee wako na bila aibu unakuja kuandika utumbo hapa.
Hakuna aliyekunyima kuajiriwa. Hakuna anayehangaika na kujiajiri kwako. Fanya kazi zako, acha wengine nao wafanye kazi zao.
Kuja kutukana watu hapa kwa chuki zako binafsi unazozijua wewe haitafanya maisha yako yawe nafuu zaidi.
Kama mambo yako hayaendi vizuri, funguka tukupe michongo na sio kumalizia hasira za ugumu wako wa maisha kwa watu wanaopambana na hali zao Bloodyfool!
Sawa.. wewe uliyejiajiri, unaingiza shilingi ngapi kwa siku?Usipaniki dadangu. Mie sikukutuma ukalambe watu viatu,we endelea tu huko kuuza akili na uhuru wako kwa mwenye akili.
Watu jasiri, wenye akili na wathubutu hawauzi uhuru wao aslani.
Wenye akili hutumia akili yao kuteneneza patterns za maisha yao kadiri waamuvyo wao.
Kuaniriwa ni sawa na kuolewa na mume, maana unamtumikia huyo mume.
Ukiajiriwa maana yake unauza akili yako kwa alie kuajiri. Huyo aliekuajiri ataitumia akili yako atakavyo yeye na sio utakavyo wewe.
Huwa nawadharau sana nyie mlioajiriwa na kuishi kwa kutegemea mshahara unaolipwa mwisho wa mwezi.
Huwa nacheka sana unayona mafanyakazi yanajazana baa meisho wa mwezi[emoji3]. huo kama sio utumwa wa akili ninini?
Unatumiwa maisha yaki yote nguvu zikiisha unafukuzwa uende kwenu uwapishe wenye nguvu.
Hakuna mwenye akili ndogo amewahi kuniajiri
Unakuta jitu na mikotimikoti mtumbo mbele lakini linaishi kwa kupokea mshahara mwisho wa mwezi.
Mwanaume unavimbavimba tu kumbe mtu mwenyewe nguvu yako iko kwa anaekulipa mshahara, kesho akisema masi litumbo linaporomoka, unakufa kwa msongo wa mawazo.
Heshima kwenu wapambanaji mliojiajiri!
Kuajiriwa ni utumwa wa akili.
Tumpe heshima, akiwa amejiajiri eneo lipi hasa, maana wapo waliojiriwa na wameajiri pia, mtu yupo kwenye kazi ya kuajiriwa ana duka kubwa tu, ana Dalala zake tipa za mchanga, na miradi mingine wapo.Biashara au kujiajiri sio kwa kila mtu. Ukisikia mtu kajiajiri mpe heshima yake.