Kuajiriwa ni utumwa

Kuajiriwa ni utumwa

Mi wala hata sijamaliza masomo mkuu [emoji19]

Hivyo nikuwie radhi

Ila kama una mafanikio kongole kwako
Endelea kupiga kitabu..ila sio unatoka chuo unaanza kulia njaa na elimu yako. Toka chuo uje kukomboa jamii
 
Hii mijadala huwa sioni tija yake, maana hata ukijiajiri, utaishia kuajiri watu. Sasa ukiwa unaimba utumwa wa wengine kila siku unakuwa ni upungufu wa akili, au haujiamini kwenye kujiajiri kwako au vyote kwa pamoja.

Kifupi mimi nawaheshimu sana waajiriwa, hawa ndo wanafanya niingize pesa hata nikilala kitandani.
 
Lazima ueapende ndondocha wako waliofugwa kukuletea pesa[emoji3]
 
we unachekesha sasa kwahiyo unajua maana ya boss na mfanyakazi au?
ukijiajiri we unakuwa na sifa mbili mfanyakazi na boss . Mfano Kwahiyo Mo dewji yuko kiwandani anatengeneza JUICE au?
Mo Dewji ni BUSINESS OWNER, People work for Him... Mtofautishe na wewe ambaye bila kwenda kwenye hiyo biashara yako huingizi hela.

Yaani wewe umefungua kaduka kako unajiweka level moja na Mo?
 
Mo Dewji ni BUSINESS OWNER, People work for Him... Mtofautishe na wewe ambaye bila kwenda kwenye hiyo biashara yako huingizi hela.

Yaani wewe umefungua kaduka kako unajiweka level moja na Mo?
Nani huyo... kwani mo nani malaika au
 
Unajua kwamba kisheria, kampuni inatambulika kama mtu yenye mali na madeni yake

Bhasi jua hivi, ukiajiriwa unakuwa mtumwa kwa boss ila ukijiajiri unakuwa mtumwa wa biashara yako

Hakuna unafuu hapo
Watu wanadhani ukijiajiri utaamka saa tatu asubuhi utakapoijisikia na utafanya tu kila kitu kama unavyotaka.

It doesn't work that way
 
Kuna "boya" mmoja ni mshikaji wangu sana, ni mtumishi wa serekale tupo tunapiga bia ananambia mkuu nataka niache kazi nijiajiri kama wewe. Nikamuuliza kwanini unataka kujiajiri, akasema nataka kuwa huru na kuwa na muda na kula bata na kupata hela. Sikumjibu, akasala nikamwambia we kula bia tulewe tukalale😁
Mwamba anataka awe na muda,awe huru,ale bata na hapo hapo apate na hela. 😁
 
Nani huyo... kwani mo nani malaika au
Siyo malaika ila eti, tu sababu unafanya biashara basi, utulivu wenu au mihangaiko yenu mnafanana, Kazi yangu, mimi hata kama nimeajiriwa iwe siyo bora kuliko, ndugu zangu wale wafanya biashara wadogo wanaopigwa na vumbi pamoja na jua.
 
Kuna "boya" mmoja ni mshikaji wangu sana, ni mtumishi wa serekale tupo tunapiga bia ananambia mkuu nataka niache kazi nijiajiri kama wewe. Nikamuuliza kwanini unataka kujiajiri, akasema nataka kuwa huru na kuwa na muda na kula bata na kupata hela. Sikumjibu, akasala nikamwambia we kula bia tulewe tukalale[emoji16]
Mwamba anataka awe na muda,awe huru,ale bata na hapo hapo apate na hela. [emoji16]
Yaani muda wa vipi, sijui biashara gani, anataka kufanya ili apate muda wa kula bata, labda biashara ya Daladala, ajenge nyumba za kupangisha, amiliki bajaji na boda hizo ndizo zitampa muda kula bata, yeye ni hesabu tu.

Biashara ya maduka ya mangi utamka mapema kufungua saa 11:30 Alfajiri kufunga kuanzia saa tatu usiku, kidogo maduka ya nguo kariakoo.

Waajiriwa wapo wanaingia ofisini saa mbili saa nane na nusu wamesharudi.
 
Inaonekana umesota sana kutafuta kazi bila mafanikio, pole sana. Na pia uache makasiriko kwa watu wanaoendesha maisha yao kwa mishahara/vipato vyao wanavyo vitolea jasho.

Wewe mwenyewe hapo umelipiwa ada na kulishwa kwa mishahara ya wazee wako na bila aibu unakuja kuandika utumbo hapa.

Hakuna aliyekunyima kuajiriwa. Hakuna anayehangaika na kujiajiri kwako. Fanya kazi zako, acha wengine nao wafanye kazi zao.

Kuja kutukana watu hapa kwa chuki zako binafsi unazozijua wewe haitafanya maisha yako yawe nafuu zaidi.

Kama mambo yako hayaendi vizuri, funguka tukupe michongo na sio kumalizia hasira za ugumu wako wa maisha kwa watu wanaopambana na hali zao Bloodyfool!
Usipaniki dadangu. Mie sikukutuma ukalambe watu viatu,we endelea tu huko kuuza akili na uhuru wako kwa mwenye akili.
Watu jasiri, wenye akili na wathubutu hawauzi uhuru wao aslani.

Wenye akili hutumia akili yao kuteneneza patterns za maisha yao kadiri waamuvyo wao.

Kuajiriwa ni sawa na kuolewa na mume, maana unamtumikia huyo mume na unatumika hata kama hutaki.

Ukiajiriwa maana yake unauza akili yako kwa alie kuajiri. Huyo aliekuajiri ataitumia akili yako atakavyo yeye na sio utakavyo wewe.

Huwa nawadharau sana nyie mlioajiriwa na kuishi kwa kutegemea mshahara unaolipwa mwisho wa mwezi.

Huwa nacheka sana unayona mafanyakazi yanajazana baa mwisho wa mwezi[emoji3]. huo kama sio utumwa wa akili ninini?

Unatumiwa maisha yaki yote nguvu zikiisha unafukuzwa uende kwenu kijijini uwapishe wenye nguvu. Mbwembwe za waaniriwa fainali zao huwa ni baada ya kutolewa humo kazini wenyewe wanaita kustaafu, hapo utashanga mtu anaanza kuwa ombaomba.

Hakuna mwenye akili ndogo amewahi kujiajiri aslani. Kujiajiri inahitaji big IQ.

Unakuta jitu na mikotimikoti mtumbo mbele lakini linaishi kwa kupokea mshahara mwisho wa mwezi.

Mwanaume unavimbavimba tu kumbe mtu mwenyewe nguvu yako iko kwa anaekulipa mshahara, kesho akisema masi litumbo linaporomoka, unakufa kwa msongo wa mawazo.

Heshima kwenu wapambanaji mliojiajiri!

Kuajiriwa ni utumwa wa akili.
 
Usipaniki dadangu. Mie sikukutuma ukalambe watu viatu,we endelea tu huko kuuza akili na uhuru wako kwa mwenye akili.
Watu jasiri, wenye akili na wathubutu hawauzi uhuru wao aslani.

Wenye akili hutumia akili yao kuteneneza patterns za maisha yao kadiri waamuvyo wao.

Kuaniriwa ni sawa na kuolewa na mume, maana unamtumikia huyo mume.

Ukiajiriwa maana yake unauza akili yako kwa alie kuajiri. Huyo aliekuajiri ataitumia akili yako atakavyo yeye na sio utakavyo wewe.

Huwa nawadharau sana nyie mlioajiriwa na kuishi kwa kutegemea mshahara unaolipwa mwisho wa mwezi.

Huwa nacheka sana unayona mafanyakazi yanajazana baa meisho wa mwezi[emoji3]. huo kama sio utumwa wa akili ninini?

Unatumiwa maisha yaki yote nguvu zikiisha unafukuzwa uende kwenu uwapishe wenye nguvu.

Hakuna mwenye akili ndogo amewahi kuniajiri

Unakuta jitu na mikotimikoti mtumbo mbele lakini linaishi kwa kupokea mshahara mwisho wa mwezi.

Mwanaume unavimbavimba tu kumbe mtu mwenyewe nguvu yako iko kwa anaekulipa mshahara, kesho akisema masi litumbo linaporomoka, unakufa kwa msongo wa mawazo.

Heshima kwenu wapambanaji mliojiajiri!

Kuajiriwa ni utumwa wa akili.
Sawa.. wewe uliyejiajiri, unaingiza shilingi ngapi kwa siku?

Usikute unaingiza sh 10,000 kwa siku halafu unatupigia kelele hapa
 
Biashara au kujiajiri sio kwa kila mtu. Ukisikia mtu kajiajiri mpe heshima yake.
Tumpe heshima, akiwa amejiajiri eneo lipi hasa, maana wapo waliojiriwa na wameajiri pia, mtu yupo kwenye kazi ya kuajiriwa ana duka kubwa tu, ana Dalala zake tipa za mchanga, na miradi mingine wapo.

Cha muhimu siyo kujiajiri wala kuajiriwa tija kwenye kuhangaika kwako. Kuna watu pale kariakoo mnadani nimewaacha wanafanya hizo kazi za kujiajiri tangu Stendi ya magari ya magayo iko pale na Abood pale kongo Mpaka leo wako vile vile, Labda kama sasa hivi, kama wanamudu alau kupanga, wakati walienda kuajiliwa wamejenga nyumba siyo moja tu, wanamipango mingine ya pesa, hivyo zingatia tija kwenye kazi siyo uhuru, mwanamme hawezi kuwa huru kabla ya kifo.
 
Back
Top Bottom