Inaonekana umesota sana kutafuta kazi bila mafanikio, pole sana. Na pia uache makasiriko kwa watu wanaoendesha maisha yao kwa mishahara/vipato vyao wanavyo vitolea jasho.
Wewe mwenyewe hapo umelipiwa ada na kulishwa kwa mishahara ya wazee wako na bila aibu unakuja kuandika utumbo hapa.
Hakuna aliyekunyima kuajiriwa. Hakuna anayehangaika na kujiajiri kwako. Fanya kazi zako, acha wengine nao wafanye kazi zao.
Kuja kutukana watu hapa kwa chuki zako binafsi unazozijua wewe haitafanya maisha yako yawe nafuu zaidi.
Kama mambo yako hayaendi vizuri, funguka tukupe michongo na sio kumalizia hasira za ugumu wako wa maisha kwa watu wanaopambana na hali zao Bloodyfool!
Usipaniki dadangu. Mie sikukutuma ukalambe watu viatu,we endelea tu huko kuuza akili na uhuru wako kwa mwenye akili.
Watu jasiri, wenye akili na wathubutu hawauzi uhuru wao aslani.
Wenye akili hutumia akili yao kuteneneza patterns za maisha yao kadiri waamuvyo wao.
Kuajiriwa ni sawa na kuolewa na mume, maana unamtumikia huyo mume na unatumika hata kama hutaki.
Ukiajiriwa maana yake unauza akili yako kwa alie kuajiri. Huyo aliekuajiri ataitumia akili yako atakavyo yeye na sio utakavyo wewe.
Huwa nawadharau sana nyie mlioajiriwa na kuishi kwa kutegemea mshahara unaolipwa mwisho wa mwezi.
Huwa nacheka sana unayona mafanyakazi yanajazana baa mwisho wa mwezi[emoji3]. huo kama sio utumwa wa akili ninini?
Unatumiwa maisha yaki yote nguvu zikiisha unafukuzwa uende kwenu kijijini uwapishe wenye nguvu. Mbwembwe za waaniriwa fainali zao huwa ni baada ya kutolewa humo kazini wenyewe wanaita kustaafu, hapo utashanga mtu anaanza kuwa ombaomba.
Hakuna mwenye akili ndogo amewahi kujiajiri aslani. Kujiajiri inahitaji big IQ.
Unakuta jitu na mikotimikoti mtumbo mbele lakini linaishi kwa kupokea mshahara mwisho wa mwezi.
Mwanaume unavimbavimba tu kumbe mtu mwenyewe nguvu yako iko kwa anaekulipa mshahara, kesho akisema masi litumbo linaporomoka, unakufa kwa msongo wa mawazo.
Heshima kwenu wapambanaji mliojiajiri!
Kuajiriwa ni utumwa wa akili.