Kuajiriwa ni utumwa

Kuajiriwa ni utumwa

Unapozungumzia suala la kufanya kazi ukijiajiri ndio uhuru unakosekana.

Hii nikwasababu muda wote unawaza kukuza mtaji bila kupoteza muda,unaweza ukashindwa kufanya mambo ya kijamii tena yaliyo yamsingi kwako kutokana na kubanwa na kazi. Nakila ukiondoka kazini kwako pengo lako linaonekana

Ukiwa umeajiriwa kuna uhuru maana majukumu yako yanaweza kutekelezwa na mtu mwingine tena labda kwa ufanisi zaidi

Ila kama kuna tafsiri nyingine ya Uhuru ulimaanisha labda ndio unaweza ukanielewa vinginevyo
Uhuru ninaouzungumzia ni tofauti na wewe uliouzungumzia. Mtu aliyejiajiri any time anaweza pumzika ila wewe uliyeajiriwa imagine kama mlizi ana uhuru gani sasa. Achana na mtu aliyejiajiri au aliyekuajiri... maana hata asipokuja job we lazima uende.
 
Kwadhana hiyo huwezi endelea na utapoteza wateja. Huo unaweza kuitwa uzembe kazini
Hakuna mtu aliyejiajiri kweli akawa anajipangia hivyo labda uwe mbangaizaji kama machinga no

Huwezi kuwa na biashara kubwa mfano kiwanda ukaamuatu kulala
 
we unachekesha sasa kwahiyo unajua maana ya boss na mfanyakazi au?
ukijiajiri we unakuwa na sifa mbili mfanyakazi na boss . Mfano Kwahiyo Mo dewji yuko kiwandani anatengeneza JUICE au?
 
Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.
Sikupingi ila fikilia huna chochote wala huna waku kuwezesha utaanzia wapi kujiajili,unaweza ukaajiliwa ukaji changa ndio ukajiajili kwa kufanya biashala nk..
 
we unachekesha sasa kwahiyo unajua maana ya boss na mfanyakazi au?
ukijiajiri we unakuwa na sifa mbili mfanyakazi na boss . Mfano Kwahiyo Mo dewji yuko kiwandani anatengeneza JUICE au?
Mada imekua tete. Mitazamo nitofauti lakini uhuru unaousema ukiwa umejiajiri sio uhalisia. Huyo uliemtaja ndio hana weekend ratiba yake ningumu mno. Fuatilia hata mahojiano yake YouTube uone alivona ratiba ngumu

Uhuru huo niwa machinga,bodaboda,kinyozi nk lakini sio kwamtu aliefanya uwekezaji mkubwa
 
Sikupingi ila fikilia huna chochote wala huna waku kuwezesha utaanzia wapi kujiajili,unaweza ukaajiliwa ukaji changa ndio ukajiajili kwa kufanya biashala nk..
Ndo ilivyo sikataa ila kujiajiri uwaga changamoto mtu akishazoea mwisho wa mwezi anapata kiasi fulani. Kwanini walimu wanalia njaa
 
Mada imekua tete. Mitazamo nitofauti lakini uhuru unaousema ukiwa umejiajiri sio uhalisia. Huyo uliemtaja ndio hana weekend ratiba yake ningumu mno. Fuatilia hata mahojiano yake YouTube uone alivona ratiba ngumu

Uhuru huo niwa machinga,bodaboda,kinyozi nk lakini sio kwamtu aliefanya uwekezaji mkubwa
Huo muda wa mahojiano alipata akiwa kiwandani au?
 
Umeeleweka

Sawa ,je umejiajiri?

Tupe mrejesho!!!!

Tulinganishie Alieajiriwa 5 years ago na uliejiajiri 5 yrs ago tutofautishie kutupa hamasa tukuelewe.
Motivation videos zinawaharibu hawa vijana

Anyway kila mtu ana fungu lake
 
Ukiajiajiri pia huwezi kuwa huru ukileta Uhuru kwenye kujiajiri hiyo biashara itakushinda, ukijiajiri inabidi uwe mtumwa zaidi kuliko alie ajiriwa, alie ajiriwa anaweza kufanya ubabaishaji kazini na akapokea mshahara Ila we uliejiajiri unatakiwa uwe mtumwa zaidi uyatumikie ipasavyo masaa yanayo kuhitaji uwepo kazini na ikiwezekana uzidishe, na hata likizo usiwe nayo.

Usijiajiri kwa kigezo cha kuwa utakua huru hiyo biashara itakushinda mapema
Facts muulize ata musk kujiajiri ni burnout more and more
 
Ungali hai utumwa huwezi kuukwepa, kuna waajiriwa wanafuatwa na V8 nyumbani, na kurudishwa Ofisini ana kiti cha kuzinguka Kioyoyozi cha kutosha.

Wapo waliojiajili wanaamka saa tisa, kusubiria Daladala, na kwenye Daladala wanabambanishwa, kazi zake anafanyia kwenye jua na fumbi mda wote.

Unachotakiwa kujua, binadamu tunategemeana, bila waajiriwa mambi hayaendi.
Nimekuzawadia hili gari

Good comment mkuu
lexus-lx600-2022-06-black-exterior-rear-angle-suv-scaled.jpg
 
Back
Top Bottom