dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
nguvu ya soda, atakata moto fastaTime anayo huyo ya kutosha.... .
Au kuna kitu anatafuta TITLE
ila anatisha kwa kweli, dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nguvu ya soda, atakata moto fastaTime anayo huyo ya kutosha.... .
Au kuna kitu anatafuta TITLE
Sema mtu ka mda wote yupo ku type tuu humu...nguvu ya soda, atakata moto fasta
ila anatisha kwa kweli, dah
atazoea tu ataacha, kama yule ZagarinoSema mtu ka mda wote yupo ku type tuu humu...
Anafikilisha sana ujue...!!!
Senior bhana.. kweli ataachaatazoea tu ataacha, kama yule Zagarino
fundi bishoo ana hesabu nyuzi tu, ya mwisho niliona aliishia 30 ( kwa leo )Senior bhana.. kweli ataacha
Ngoja aje fundi bishoo ahahahahaha anawezana nae
Fundi mkorofi yule 🤓🤓🤓🤓fundi bishoo ana hesabu nyuzi tu, ya mwisho niliona aliishia 30 ( kwa leo )
nimecheka mbaya
Uhuru ninaouzungumzia ni tofauti na wewe uliouzungumzia. Mtu aliyejiajiri any time anaweza pumzika ila wewe uliyeajiriwa imagine kama mlizi ana uhuru gani sasa. Achana na mtu aliyejiajiri au aliyekuajiri... maana hata asipokuja job we lazima uende.Unapozungumzia suala la kufanya kazi ukijiajiri ndio uhuru unakosekana.
Hii nikwasababu muda wote unawaza kukuza mtaji bila kupoteza muda,unaweza ukashindwa kufanya mambo ya kijamii tena yaliyo yamsingi kwako kutokana na kubanwa na kazi. Nakila ukiondoka kazini kwako pengo lako linaonekana
Ukiwa umeajiriwa kuna uhuru maana majukumu yako yanaweza kutekelezwa na mtu mwingine tena labda kwa ufanisi zaidi
Ila kama kuna tafsiri nyingine ya Uhuru ulimaanisha labda ndio unaweza ukanielewa vinginevyo
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.
Binadamu ni kiumbe tegemezi, tunategemeana! Hivyo, hata kama utajiajiri, utahitaji the so called watumwa (waajiriwa) ili waweze kukusaidia.Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.
Kwadhana hiyo huwezi endelea na utapoteza wateja. Huo unaweza kuitwa uzembe kaziniUhuru ninaouzungumzia ni tofauti na wewe uliouzungumzia. Mtu aliyejiajiri any time anaweza pumzika ila wewe uliyeajiriwa imagine kama mlizi ana uhuru gani sasa. Achana na mtu aliyejiajiri au aliyekuajiri... maana hata asipokuja job we lazima uende.
we unachekesha sasa kwahiyo unajua maana ya boss na mfanyakazi au?Kwadhana hiyo huwezi endelea na utapoteza wateja. Huo unaweza kuitwa uzembe kazini
Hakuna mtu aliyejiajiri kweli akawa anajipangia hivyo labda uwe mbangaizaji kama machinga no
Huwezi kuwa na biashara kubwa mfano kiwanda ukaamuatu kulala
Sikupingi ila fikilia huna chochote wala huna waku kuwezesha utaanzia wapi kujiajili,unaweza ukaajiliwa ukaji changa ndio ukajiajili kwa kufanya biashala nk..Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.
Mada imekua tete. Mitazamo nitofauti lakini uhuru unaousema ukiwa umejiajiri sio uhalisia. Huyo uliemtaja ndio hana weekend ratiba yake ningumu mno. Fuatilia hata mahojiano yake YouTube uone alivona ratiba ngumuwe unachekesha sasa kwahiyo unajua maana ya boss na mfanyakazi au?
ukijiajiri we unakuwa na sifa mbili mfanyakazi na boss . Mfano Kwahiyo Mo dewji yuko kiwandani anatengeneza JUICE au?
Ndo ilivyo sikataa ila kujiajiri uwaga changamoto mtu akishazoea mwisho wa mwezi anapata kiasi fulani. Kwanini walimu wanalia njaaSikupingi ila fikilia huna chochote wala huna waku kuwezesha utaanzia wapi kujiajili,unaweza ukaajiliwa ukaji changa ndio ukajiajili kwa kufanya biashala nk..
Huo muda wa mahojiano alipata akiwa kiwandani au?Mada imekua tete. Mitazamo nitofauti lakini uhuru unaousema ukiwa umejiajiri sio uhalisia. Huyo uliemtaja ndio hana weekend ratiba yake ningumu mno. Fuatilia hata mahojiano yake YouTube uone alivona ratiba ngumu
Uhuru huo niwa machinga,bodaboda,kinyozi nk lakini sio kwamtu aliefanya uwekezaji mkubwa
Motivation videos zinawaharibu hawa vijanaUmeeleweka
Sawa ,je umejiajiri?
Tupe mrejesho!!!!
Tulinganishie Alieajiriwa 5 years ago na uliejiajiri 5 yrs ago tutofautishie kutupa hamasa tukuelewe.
Facts muulize ata musk kujiajiri ni burnout more and moreUkiajiajiri pia huwezi kuwa huru ukileta Uhuru kwenye kujiajiri hiyo biashara itakushinda, ukijiajiri inabidi uwe mtumwa zaidi kuliko alie ajiriwa, alie ajiriwa anaweza kufanya ubabaishaji kazini na akapokea mshahara Ila we uliejiajiri unatakiwa uwe mtumwa zaidi uyatumikie ipasavyo masaa yanayo kuhitaji uwepo kazini na ikiwezekana uzidishe, na hata likizo usiwe nayo.
Usijiajiri kwa kigezo cha kuwa utakua huru hiyo biashara itakushinda mapema
Nimekuzawadia hili gariUngali hai utumwa huwezi kuukwepa, kuna waajiriwa wanafuatwa na V8 nyumbani, na kurudishwa Ofisini ana kiti cha kuzinguka Kioyoyozi cha kutosha.
Wapo waliojiajili wanaamka saa tisa, kusubiria Daladala, na kwenye Daladala wanabambanishwa, kazi zake anafanyia kwenye jua na fumbi mda wote.
Unachotakiwa kujua, binadamu tunategemeana, bila waajiriwa mambi hayaendi.
Endelea kunengeneka.... kama unafanya kazi serikalini tambua nakulisha maana kodi yangu we ndo unalipwa mshaharaMotivation videos zinawaharibu hawa vijana
Anyway kila mtu ana fungu lake