Kuajiriwa ni utumwa

Kuajiriwa ni utumwa

Sawa.. wewe uliyejiajiri, unaingiza shilingi ngapi kwa siku?

Usikute unaingiza sh 10,000 kwa siku halafu unatupigia kelele hapa
Bora elfu mbili niliyoingiza kwa akili yangu kuliko laki moja uliyoigiza wewe kwa akili ya mwingine.

Ina maana kwamba mimi nilieingiza elfu mbili kwa akili yangu ninauwezo wa kuingiza laki mbili kwa akili yangu ila wewe ulieingiza laki moja kwa kupewa kutokana na akili ya mtu mwingine huwezi kuwa na mabadiliko endelevu kwa akili yako mwenyewe, maana mpaka hapo akili huna maana ulisha muuzia mtu aifanyie kazi[emoji16], na wewe akili ishkuwa tegemezi kwa mwajiri.

inbidi ulambe viatu vyake ili akuongezee mshahara!
Huo kama sio uendawazimu ninini?[emoji16]
 
Umekariri. Sio kila mtu aliyeajiriwa analamba viatu ili aongezewe mshahara. Sio kila kazi ni ya muhindi and the likes.

Hata aliyejiajiri dukani analamba viatu vya mteja ili aje anunue kwake... Hata bodaboda "analamba" viatu vya abiria ili amchague yeye na sio boda mwingine.

Na bado hujajibu swali langu... wewe uliyejiajiri UNAINGIZA SHILINGI NGAPI KWA SIKU?
 
Yaani muda wa vipi, sijui biashara gani, anataka kufanya ili apate muda wa kula bata, labda biashara ya Daladala, ajenge nyumba za kupangisha, amiliki bajaji na boda hizo ndizo zitampa muda kula bata, yeye ni hesabu tu.

Biashara ya maduka ya mangi utamka mapema kufungua saa 11:30 Alfajiri kufunga kuanzia saa tatu usiku, kidogo maduka ya nguo kariakoo.

Waajiriwa wapo wanaingia ofisini saa mbili saa nane na nusu wamesharudi.
Ndo apo sasa
 
Hapa umeandika Upuuzi mtupu ndugu yangu, usichikijua ndege unayopanda kwenda Dubai imetengenezwa na waajiliwa, elimu unayoidhalau, naona imekuumbua.

Wewe unafanya kazi binafsi kwa ajili ya kuwa huru bila kujali tija, unaamini mtu anarudi nyumbani, siku nyingine nauli ya daladala anaomba ni bora, kwa sababu tu ni kazi binafsi yuko huru, kuliko mtu anaelipwa milioni moja kwa siku ni utumwa.
Sawa lakini mimi tija kwenye kazi.
Nawewe acha kuleta nadharia ulizokaririshwa form one! Hizo ndizo zinakufanya ushindwe kutoka nje ya box kisa monthly salary.

Hakuna mahalinimesema nimejianiri ili nipate uhuru, big no.

Nimesema kwamba hakuna mwnye akili kubwa,confidence ameajiriwa na akadumu kwenye ajira ya kulipwa mshahara mwisho wa mwezi, hakuna mtu huyo.

Kujiriwa unakuwa umeegemea line ya umaskini hakika. Akili yako haiwezi kuplay freely kusearch altenative. Zaidi zaidi ni kujipendekeza kwa mwajiri na kuwapiga wenzako majungu ili uongezwe mshahara[emoji16]

Kuajiriwa ni sawa na dume la miaka 30 linalotegemea mali za urithi kutoka kwa mzazi wake[emoji16]

Kujiajiri ni kwa wenye IQ inayotembea tu.
 
Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.

Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.
ukipata ajira BOT au TRA utakataaa chief ?
 
Nawewe acha kuleta nadharia ulizokaririshwa form one! Hizo ndizo zinakufanya ushindwe kutoka nje ya box kisa monthly salary.

Hakuna mahalinimesema nimejianiri ili nipate uhuru, big no.

Nimesema kwamba hakuna mwnye akili kubwa,confidence ameajiriwa na akadumu kwenye ajira ya kulipwa mshahara mwisho wa mwezi, hakuna mtu huyo.

Kujiriwa unakuwa umeegemea line ya umaskini hakika. Akili yako haiwezi kuplay freely kusearch altenative. Zaidi zaidi ni kujipendekeza kwa mwajiri na kuwapiga wenzako majungu ili uongezwe mshahara[emoji16]

Kujiajiri ni kwa wenye IQ tu.
Narudia Watafiti Kwa maana Watalaamu unajua kuwa ni waajiriwa, Watengeneza madawa, Wanaunda ndege, magari, meli, na Watengeneza bidhaa mbali mbali ni Waajiliwa, Mo, Bhaharesa Wanategemea wataalamu wao, kwenye shuguri zao.

Hao maprofesa ni Wataalau huwa hawajiajiri wao huajiriwa Silaha zinazo tikisa Dunia ni kazi ya waajiriwa, Computer zao la waajiliwa. Sector zinatofautiana ndugu yangu.
 
ukipata ajira BOT au TRA utakataaa chief ?
Mawazo ya kuajiriwa ni kwa wasio kuwa na IQ kama wewe.

Akili yako kama haitembei(imeganda,ndio inafikiria huo upuuzi wa ajira)

Narudia, hakuna IQ kubwa inaajiriwa ama kudumu kwenye ajira za mishahara ya mwisho wa mwezi.

IQ kubwa huwa haitumikishwi bali inajitumikishwa.

We kwa hiyo akili yako kisoda imejikusanya kwenye kibuyu na umefikia ukingoni mwa kufikiri kwamba huwezi kuwa na pesa mpaka uajiriwe BOT au TRA.

Kuajiriwa ni utumwa!
 
Narudia Watafiti Kwa maana Watalaamu unajua kuwa ni waajiriwa, Watengeneza madawa, Wanaunda ndege, magari, meli, na Watengeneza bidhaa mbali mbali ni Waajiliwa, Mo, Bhaharesa Wanategemea wataalamu wao, kwenye shuguri zao.

Hao maprofesa ni Wataalau huwa hawajiajiri wao huajiriwa Silaha zinazo tikisa Dunia ni kazi ya waajiriwa, Computer zao la waajiliwa. Sector zinatofautiana ndugu yangu.
Narudia tena, ndugu yangu.

Hao watafiti sijui maprofesa we umekaririshwa ukiwa shule ya msingi kwamba ukiitwa majina hayo ndio akili. Hao mi nawaitaga wakariri makaratasi tu.

Wenye IQ dunia nzima huwezi kuwaajiri kwa monthly salari.

Ukiona mtu ananunua akili yako na kukupatia ujira wa kukutumikisha mwisho wa mwezi jua wewe ndio tatizo.

Hakuna big IQ atakubali kuuza akili yake kwa ujira wa monthly salary, never!
 
Usipaniki dadangu. Mie sikukutuma ukalambe watu viatu,we endelea tu huko kuuza akili na uhuru wako kwa mwenye akili.
Watu jasiri, wenye akili na wathubutu hawauzi uhuru wao aslani.

Wenye akili hutumia akili yao kuteneneza patterns za maisha yao kadiri waamuvyo wao.

Kuajiriwa ni sawa na kuolewa na mume, maana unamtumikia huyo mume na unatumika hata kama hutaki.

Ukiajiriwa maana yake unauza akili yako kwa alie kuajiri. Huyo aliekuajiri ataitumia akili yako atakavyo yeye na sio utakavyo wewe.

Huwa nawadharau sana nyie mlioajiriwa na kuishi kwa kutegemea mshahara unaolipwa mwisho wa mwezi.

Huwa nacheka sana unayona mafanyakazi yanajazana baa mwisho wa mwezi[emoji3]. huo kama sio utumwa wa akili ninini?

Unatumiwa maisha yaki yote nguvu zikiisha unafukuzwa uende kwenu kijijini uwapishe wenye nguvu. Mbwembwe za waaniriwa fainali zao huwa ni baada ya kutolewa humo kazini wenyewe wanaita kustaafu, hapo utashanga mtu anaanza kuwa ombaomba.

Hakuna mwenye akili ndogo amewahi kujiajiri aslani. Kujiajiri inahitaji big IQ.

Unakuta jitu na mikotimikoti mtumbo mbele lakini linaishi kwa kupokea mshahara mwisho wa mwezi.

Mwanaume unavimbavimba tu kumbe mtu mwenyewe nguvu yako iko kwa anaekulipa mshahara, kesho akisema masi litumbo linaporomoka, unakufa kwa msongo wa mawazo.

Heshima kwenu wapambanaji mliojiajiri!

Kuajiriwa ni utumwa wa akili.
Umeshusha nondo..sema afhadhari ya demu anaweza kuajiriwa kozi yeye amezoea
 
Narudia tena, ndugu yangu.

Hao watafiti sijui maprofesa we umekaririshwa ukiwa shule ya msingi kwamba ukiitwa majina hayo ndio akili. Hao mi nawaitaga wakariri makaratasi tu.

Wenye IQ dunia nzima huwezi kuwaajiri kwa monthly salari.

Ukiona mtu ananunua akili yako na kukupatia ujira wa kukutumikisha mwisho wa mwezi jua wewe ndio tatizo.

Hakuna big IQ atakubali kuuza akili yake kwa ujira wa monthly salary, never!
Asante kaka mkubwa... leo nimeona watu makini na watu fulani wa Twitter. Acha wabishe ila kuajiriwa ni utumwa..... waache waendelee kuuza akili zao
 
Watu wanadhani ukijiajiri utaamka saa tatu asubuhi utakapoijisikia na utafanya tu kila kitu kama unavyotaka.

It doesn't work that way
Hawajui biashara ni utumwa masaa 24..
 
Jamaa anafikiria kama mtoto. Ana very poor reasoning. Hata umueleweshe vipi ni bure, haelewi kitu. Labda anapenda fantasy ya kuanzisha mjadala na kubishana. Achaneni naye!
Maskini wa akili akli yao imefungiwa kwenye kuajiriwa.

Hakuna tajiri alieajiriwa tangu dunia kuumbwa.
 
Mrejesho gani.. me nimejiajiri siendeshwi .. kuajiriwa utumwa maanake huwezi kuwa huru. Mwajiri wako akikuhitaji saa nane usiku lazima uende mzee
Kama umejiakiri na unaweza tengeneza faida halisi 5m hadi mil 50 kwa mwezi ,maneno yako yanamaana

Ila kama chini ya hapo badilisha maada
Andika kuajiriwa au kujiajiri kupi bora na toa sababu

#wapo waliojiajiri ni choka mbaya na wengine wamefika mbali

#wapo walioajiriwa choka mbaya na waliofika mbali

Kwa uelewa wangu kujiajiri au kuajiriwa inategemeana na vitu vingi na background, pia fursa

Huwezi kurupuka tu

At the end lazima ufike sehemu ujiajiri baada ya kujipanga,huwezi fanya kaz mpaka unazeeka .
 
We kama umeajiriwa huna tofaut na mwanamke aliyeolewa iko hivo. Akili yako haiwezi kuwa komavu kama bado we umeajiriwa. Ni sawa na kijana unayeishi kwenu hata kama unakila kitu.
We kama unatetea kuajiriwa bado uko na akili mgando hakuna tajiri aliyeajiriwa.
Ukiacha kazi akili ndo inakukaa.
 
Kama umejiakiri na unaweza tengeneza faida halisi 5m hadi mil 50 kwa mwezi ,maneno yako yanamaana

Ila kama chini ya hapo badilisha maada
Andika kuajiriwa au kujiajiri kupi bora na toa sababu

#wapo waliojiajiri ni choka mbaya na wengine wamefika mbali

#wapo walioajiriwa choka mbaya na waliofika mbali

Kwa uelewa wangu kujiajiri au kuajiriwa inategemeana na vitu vingi na background, pia fursa

Huwezi kurupuka tu

At the end lazima ufike sehemu ujiajiri baada ya kujipanga,huwezi fanya kaz mpaka unazeeka .
Tatizo sio kuingiza kiasi gani we utakuwa mbumbu na unatetea upuuzi bora kuingiza buku yangu kuliko kutumia akili yangu kumuingizia million mwajiri wangu. Hapa kinachozungumziwa ni utumwa wa kifikra sio kuingiZa kiasi fulani cha pesa. Kuna watu wako na hela Ila hawana imani ya moyo. Ni sawa na kumiliki pesa za majini zinakuendesha we unaona mtu yuko bomba kumbe anateseka... kuajiriwa ni utumwa. Me sijali hata kama unamiliki kiwango gani cha pesa we kama umeajiriwa na kuona kam mwanamke aliyeolewa au anayedanga maana bila danga hapati mikwanja ila me naingiza buku binafsi haina kelele... situmikishwi. We endelea kupambana
 
Tumpe heshima, akiwa amejiajiri eneo lipi hasa, maana wapo waliojiriwa na wameajiri pia, mtu yupo kwenye kazi ya kuajiriwa ana duka kubwa tu, ana Dalala zake tipa za mchanga, na miradi mingine wapo.

Cha muhimu siyo kujiajiri wala kuajiriwa tija kwenye kuhangaika kwako. Kuna watu pale kariakoo mnadani nimewaacha wanafanya hizo kazi za kujiajiri tangu Stendi ya magari ya magayo iko pale na Abood pale kongo Mpaka leo wako vile vile, Labda kama sasa hivi, kama wanamudu alau kupanga, wakati walienda kuajiliwa wamejenga nyumba siyo moja tu, wanamipango mingine ya pesa, hivyo zingatia tija kwenye kazi siyo uhuru, mwanamme hawezi kuwa huru kabla ya kifo.
We kweli ndo wale wabunge wetu wa mchongo🤔😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom