zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 747
- 1,404
Bora elfu mbili niliyoingiza kwa akili yangu kuliko laki moja uliyoigiza wewe kwa akili ya mwingine.Sawa.. wewe uliyejiajiri, unaingiza shilingi ngapi kwa siku?
Usikute unaingiza sh 10,000 kwa siku halafu unatupigia kelele hapa
Ina maana kwamba mimi nilieingiza elfu mbili kwa akili yangu ninauwezo wa kuingiza laki mbili kwa akili yangu ila wewe ulieingiza laki moja kwa kupewa kutokana na akili ya mtu mwingine huwezi kuwa na mabadiliko endelevu kwa akili yako mwenyewe, maana mpaka hapo akili huna maana ulisha muuzia mtu aifanyie kazi[emoji16], na wewe akili ishkuwa tegemezi kwa mwajiri.
inbidi ulambe viatu vyake ili akuongezee mshahara!
Huo kama sio uendawazimu ninini?[emoji16]