Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Naomba maoni yako hapo chini je kati ya Kujiajiri au kuajiriwa ni kipi una prefer na ni kwanini?
Kwanini mkuuKote utumwa uko pale pale
Vp ukibase may be kwenye biashara tuBoth, uwe kwenye ajira then ufungue kibiashara chako pembeni, hutojuta
Kuajiriwa Kuna Siri gani mkuu mbona wadau wengi wanapakubali?Kujiajiriwa
Sijaseka kuajiriwa nimesema kujiajiriwaKuajiriwa Kuna Siri gani mkuu mbona wadau wengi wanapakubali?
Be specificKujiajiriwa
Ahahaha faza na skia na kitabu umeandika sio...Inategemea na drive (motivation ) yako
Kama huna ndoto kubwa (ajiriwa).
Ukiwa umezaliwa na ndoto kubwa za kipato,mandinga makali,nyumba kubwa kubwa ,financial freedom,generational wealth,Exploration of the world,watoto wakali....roho inapenda etc etc (Jiajiri)
Hata kwenye dini sijawahi kusikia tajiri aliyeajiriwa (except wanasiasa wa Africa ,you know what i mean here)
Wenye ndoto kubwa wote...whether we like or not duniani ni risk takers,hata hao wazungu waliokuja kutukamua huku,wakatembea baharini miezi kadhaa kwenye mawimbi makubwa ,wakatoboa wakalijua dark planet wakafanikisha kupata madini,vilimo vya mazao ya biashara na mikataba feki ni risk takers,ambao walilipwa na utajiri mkubwa na kujenga mitaa mikubwa ulaya!!
Mimi nipo upande wa kujiajiri kwa sababu zifuatazo.Naomba maoni yako hapo chini je kati ya Kujiajiri au kuajiriwa ni kipi una prefer na ni kwanini?