Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Misamaha ya kodi ingepungua kama kodi ingekua nafuu na watu wengi wangelipa kodi sio kama sasa watu wengi wanakwepa kulipa kodi.Kodi ni mzigo mkubwa sana sijui hawafanyi tathmini kila baada ya muda, misamaha ya kodi nayo inawaangukia wenye nazo. Hii nchi ukipata fursa ya kuikimbia ni nafuu zaidi.