Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Aug 9, 2025 #41 Half american said: Kodi ni mzigo mkubwa sana sijui hawafanyi tathmini kila baada ya muda, misamaha ya kodi nayo inawaangukia wenye nazo. Hii nchi ukipata fursa ya kuikimbia ni nafuu zaidi. Click to expand... Misamaha ya kodi ingepungua kama kodi ingekua nafuu na watu wengi wangelipa kodi sio kama sasa watu wengi wanakwepa kulipa kodi.
Half american said: Kodi ni mzigo mkubwa sana sijui hawafanyi tathmini kila baada ya muda, misamaha ya kodi nayo inawaangukia wenye nazo. Hii nchi ukipata fursa ya kuikimbia ni nafuu zaidi. Click to expand... Misamaha ya kodi ingepungua kama kodi ingekua nafuu na watu wengi wangelipa kodi sio kama sasa watu wengi wanakwepa kulipa kodi.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,410 Reaction score 114,823 Aug 9, 2025 #42 Isanga family said: Misamaha ya kodi ingepungua kama kodi ingekua nafuu na watu wengi wangelipa kodi sio kama sasa watu wengi wanakwepa kulipa kodi. Click to expand... Hakuna namna nyingine maana utakuwa unaifanyia kazi kodi tu faida huioni.
Isanga family said: Misamaha ya kodi ingepungua kama kodi ingekua nafuu na watu wengi wangelipa kodi sio kama sasa watu wengi wanakwepa kulipa kodi. Click to expand... Hakuna namna nyingine maana utakuwa unaifanyia kazi kodi tu faida huioni.