Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Sasa hivi watu vichwa vyao vimekuwa vyepesi kama mchuzi wa yai, uvivu umetawala mtu akiulizwa swali anakimbilia Google ili apate jibu haraka na aje kujibu mtu.
Huyo aliyeandika Google ni nani? Katika uandishi kuna typing error uwaga zinatokea ila unakuta mtu anasema kasome Google tunawasomi wa namna hii siku hizi.
TEKNOLOGY imekuja kuleta maendeleo sawa ila faida ni dongo kuliko hasara. Hasara ndo kubwa maana watu wanaandika wanachokifahamu ila sio kiuhalisia.
Kuna vitu vya kusoma kwenye google na mambo mengi kutafuta mataalam akakuelekeze. Ndo maana wasomi wengi ni wajinga. Watu wenye elimu ni wengi ila maarifa zero. Ndo maana kila siku mambo yanabaki pale pale.