Kuamini Google na ufinyu wa maarifa: Teknolojia ina faida chache ila hasara kibao

Kuamini Google na ufinyu wa maarifa: Teknolojia ina faida chache ila hasara kibao

Ha haaa acha bwana kunichekesha.
Ndo hivyo halina hisia hata ulitukane
Leo asubuhi nikaliambia nimekata tamaa na maisha nataka kujiua likanibembeleza mara ooh sijui tafuta msaada wa haraka kwa rafiki anayetegemeka, mtu wa familia au mtaalamu wa saikolojia 😀
 
Bwana weee unanivunja mbavu🤣🤣🤣.
Haya ukuje rafiki yangu nikushauri.
Ngoja nikuje niufanyie kazi ushauri wake 😀😀😀 nisije nikajitia kitanzi bure tena nimechelewa maana alinishauri tangu asubuhi
 
Sasa hivi watu vichwa vyao vimekuwa vyepesi kama mchuzi wa yai, uvivu umetawala mtu akiulizwa swali anakimbilia Google ili apate jibu haraka na aje kujibu mtu.

Huyo aliyeandika Google ni nani? Katika uandishi kuna typing error uwaga zinatokea ila unakuta mtu anasema kasome Google tunawasomi wa namna hii siku hizi.

TEKNOLOGY imekuja kuleta maendeleo sawa ila faida ni dongo kuliko hasara. Hasara ndo kubwa maana watu wanaandika wanachokifahamu ila sio kiuhalisia.

Kuna vitu vya kusoma kwenye google na mambo mengi kutafuta mataalam akakuelekeze. Ndo maana wasomi wengi ni wajinga. Watu wenye elimu ni wengi ila maarifa zero. Ndo maana kila siku mambo yanabaki pale pale.
Bado upo kizamani, google imepitwa na wakati, sasa hivi watu tupo kwenye Open AI chat gpt.

Mbona umechelewa sana kijana? Nenda na wakati.
 
Mkuu unajua google ni nini na inafanyaje kazi? Ebu jaribu kufikiria kidogo... Anaeenda kutafuta jibu kwenye search engine kubwa kama google ni anatafuta jibu lenye majibu ya kiwango cha kimataifa... Nikianza kukueleza jinsi google inafanya kazi, itabid nikueleze na chatGPT, alafu hapo hapo nikueleze github alafu nikwambie mambo ya databases alafu tuje server na mambo mengi ambayo we ni mweupe, na wewe sio mtu wa technology so ntakutesa tu, tafuta namna google inafanya kazi alafu ulete jibu... Mfano swali rahis unadhani kwanini ukiandika Tanzania inakwambia hii nchi iko wapi na haikosei? Alafu kitu kingine unadhani google inatumika kote sio? China, north na south korea na Russia hawatumii google kama search engine yao... Unadhan vile unavyovisearch vinajijia tu mzee watu wamechapa code za javaScript na typescript pamoja na html na css zikaelewa sababu wewe mtumiaji wa mwisho ukaona ni uongo au sio? Google has 2.5B visitors per month mzee hawa wote hawana akili ila wewe kamanda... Umetisha sana.
 
Back
Top Bottom