Kuamini Google na ufinyu wa maarifa: Teknolojia ina faida chache ila hasara kibao

Hemedy Jr Junior nafkiri una hoja ila namna ya uwasilishaji ndio shida
Hajui anachokisema ni sawasawa ukutane na mtu mtaani( layman) anasema you tube haisemi ukweli eti ukiandika Diamond ni billionaire inaleta majibu, this is what the dude was trying to implicate ila hajui the whole working mechanism of search engines...sasa apo inabid upite pembeni uwaache waendelee kubishana si walikimbia umande wakati sisi tunapambana na skuli...
 
Shida ni kwamba watu Wamekimbilia kumuattack ila hoja yake ni kwamba watu wapo too attached na Google kuliko Hypocampus ( Reasoning/ Logic mind ).
 
Google haifanyi kazi kizembe hivyo. Google inachofanya ni kukuletea link ya documents, page, video, picha au website yenye taarifa unayotaka.

Kwa kifupi badala ya wewe kwenda maktaba kuu kutafuta kitabu fulani google inakuletea kile kitabu in the Software format.
 
2002 . Ukikuwa utaacha babaako kumuona mshikaji wako
Wewe ni mjinga nimekuuliza unajua dhumuni la kuanzishwa kwa Google? Nini waliona hadi wakaianzisha au unapingapinga tu kijingajinga? Grow up acha kua na akili za kitoto next time utakuja kukosoa JF kua haifai kuwepo Tz na haifai kutumiwa na watanzania kwa sababu zako uchwara zisizokua na mashiko
 
Maarifa yamapatikana kwenye vitabu Google au tuseme internet ni version mpya ya vitabu. Kama unaongelea typing error hata vitabu vinaweza kuwa na typing error.
Na tunakoelekea kila kitu kinaamia kwenye cloud
 
Andaa Uzi wa hayo mambo uliyoyaongea hapo juu
 
We kiande kweli soma vizuri post
 
Kwani Wewe unataka Jibu au Unataka Akili ya Mtu?? Kwanini Uishi maisha Ya 1980 wakati watu wanaishi maisha ya 2023...

Kujibu kwa Kichwa Siku hizi si ujanja Tena eti utasifiwa na Watu siku hzi watu wanatafuta Solution ya Matatizo Kwa Njia Yeyote ile Ili Mradi Tatizo Limetatulika Haijalishi Ametumia Google au Laaah

Sasa Kama Ukitumia Google Tu umeleta Thread Sasa Hivi Kuna CHAT GPT AI
 
Ndo maana tuna wasomi wengi wasio kuwa na maarifa. Wengi chenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…