Kuamini Google na ufinyu wa maarifa: Teknolojia ina faida chache ila hasara kibao

Vichwa vyepesi..... yapo mambo ya kutumia technlogy na mambo mengine kutumia tecknolgy unakuwa unafanya bichwa lako liwe boga
 
Mtoa mada una tongo tongo nyingi sana kichwani ebu kwanza ijaribu ChatGPT halafu urudi tena hapa kuja kuharisha
 
[emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji160]
 
HANA FUTARI HUYO.
 

Hasara​

La teknolojia ya kisasa pia ina hasi zake. Kwa hivyo, maendeleo hayo pia yameunda hali ambazo sio faida sana kwa wanadamu, tunaona.

  • Watu wana uamuzi mdogo na ufahamu, wanategemea sana teknolojia.
  • Michakato ya hisabati haifanyiki kiakili lakini kupitia kikokotozi rahisi kilichowekwa kwenye simu ya rununu.
  • Mtaji wa kibinadamu umepungua, kwa hivyo ukosefu wa ajira umeongezeka katika maeneo ambayo mkono mkubwa wa uzalishaji ulihitajika hapo awali.
  • Uharibifu wa mazingira kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya nishati ya viwanda vingi vya kufanya kazi, ambavyo vimechafua maji na bahari.
  • the mitandao ya kijamii Wameharibu maisha ya kijamii ya wanafunzi wengi, wanatumia wakati wao zaidi kucheza michezo au kufanya matumizi kwenye vifaa vya rununu.
  • Kuna uvivu zaidi na uvivu ulimwenguni, kama matokeo ya michakato kuwa ya haraka na yenye ufanisi zaidi, na kuunda faraja katika kila shughuli.
  • Uhusiano wa kibinadamu umepungua, watu huacha nyumba zao wakitumia muda wao kutazama televisheni setilaiti au kebo, mtandao na michezo ya video.
  • Silaha bora zaidi na zenye nguvu zimevumbuliwa, na kufanya hofu katika nchi zingine kudhihirika katika suluhisho zinazoongezeka za mzozo wa kisiasa.
  • Kuna watu zaidi ambao wanaishi peke yao na wametengwa, ambao hawawasiliani na teknolojia mpya na wanahisi wamehama.
  • Watu husoma vitabu vichache na maarifa hupatikana bila kuwa na ukweli wa chanzo.
 
HANA FUTARI HUYO.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daaaah
 
Hawajaelewa watu, hicho sikipingi kwakweli ila mbona uwasilishaji wake unaeleweka. Sema hatupendi kufikiria sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kusema wataalam wajinga sababu ya Google au Technology hapo sipendi mazima upande alipo.
 
Pengine umefikiria na hakuna namna yoyote mwingine akakulaum maana ndipo ulipoishia, jaribu kuelewa google ni kitu gani na how kinakua na info ambazo watu wanaweza wakawa waziitaji au wanazihitaji
 

Google inasaidia sana kama wewe mwenyewe una uelewa wa mambo. Kama ni mjinga, hata ukisoma mambo ndani ya google hutayaelewa, na ukidanganywa hutashtuka. Lakini mtu yoyote mwenye exposure, na hasa akiwa na Ile kitu inaitwa basic degree, yaani umesoma angalau 1st degree proper, unaweza kutumia google kwa faida kuliko hasara!!. Kwa hiyo, Google kwa mtu aliyeishia std 7 au from 4 ni tofauti na google kwa mtu aliyefika University.
 
Hakuna watu wajinga kama watu walisoma hizo degree tena hapa bongo. Niamini mimi we upo chuo bado mtoto wa mama. Bora wa darasa la saba kuliko wewe mwenye degree na hakusadii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…