Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
- Thread starter
-
- #81
Mtoto wa mama tuliaPengine umefikiria na hakuna namna yoyote mwingine akakulaum maana ndipo ulipoishia, jaribu kuelewa google ni kitu gani na how kinakua na info ambazo watu wanaweza wakawa waziitaji au wanazihitaji
Hii ni shida nyingine, kwamba watu wanasema standard seven afadhali kuliko graduate!!! Sasa hapa Kuna Cha kuongea kweli?!!. Aliyesoma anajua research methods, haendi kichwa kichwa!! Sasa la saba kweli unategemea a Google na kuelewa chochote? Alafu unamtetea!!!! Dah!Hakuna watu wajinga kama watu walisoma hizo degree tena hapa bongo. Niamini mimi we upo chuo bado mtoto wa mama. Bora wa darasa la saba kuliko wewe mwenye degree na hakusadii
ujinga ni nini?Hii ni shida nyingine, kwamba watu wanasema standard seven afadhali kuliko graduate!!! Sasa hapa Kuna Cha kuongea kweli?!!. Aliyesoma anajua research methods, haendi kichwa kichwa!! Sasa la saba kweli unategemea a Google na kuelewa chochote? Alafu unamtetea!!!! Dah!
Hivi vitu mbona vimevumbuliwa miaka mingi sana?Naweza tengeneza Bunduki, mshale, vyungu naweza kufua chuma n.k
Msomi ndiye anaweza kuseaech Google, kwasababu anajua ana search nini!ujinga ni nini?
Uko na degree unaenda google kutafuta nini?
.... endelea kusearch google.... tunawasomi wajinga sijui wanasoma nini.
Hata ukiwa Prof wa Havard una search information. Swala ni kujua information ipi ni relevant na unaitumiaje. Ndio maana Kuna kitu kinaitwa references. Nimeshaona watu University wanaingia na Textbook kwenye mtihani. Hata kama formula zipo na unaweza kuzikopy, swala ni kujua formula ipi uitumie wapi!!ujinga ni nini?
Uko na degree unaenda google kutafuta nini?
.... endelea kusearch google.... tunawasomi wajinga sijui wanasoma nini.