Kuamini ukiachana na mpenzi wako atafikwa na baya ni ujinga!

Kuamini ukiachana na mpenzi wako atafikwa na baya ni ujinga!

Sinaga huo muda wa kumfatilia x boyfriend tukiachana Huwa nakubali imeisha kilamtu Aishi maishayake
 
Hii kitu honestly tunayo wanaume.
Kiuhalisia hakuna mwanaume ambaye huwa anaanzisha mahusiano na mwanamke afu aje aachane nae .ila shida huja pale issues za kiuchumi zikija ambapo mwanamke huanza kujiweka mbali hivyo kumuacha mwanaume kisa pesa zimekauka.

Hii humpa mwanaume nguvu ya kupambana zaidi so na itokee mwanamke kamuacha mwanaume na kwenda kwa mwenye hela automatically hapo lazima umuombee mabaya tu afu siku akisikia au akiona mwanaume aliyemuacha basi mambo yamejipa ndo utaona mwanamke anataka kurudi.

Wanawake pesa zinatafutwa lakini mapenzi ya dhati ni adimu kutafutwa.
 
U
Hivi mtu uliyetemana nae inakuaje unamfuatilia mpaka ujue habari zake kua amepata majanga au amepata good life? ukitemana na mtu fanya kama vile hukuwahi kukutana nae hapa Duniani,be yourself and live your life,kuanza kumfuatilia ni dalili kua bado unaumia kwa kuachana nae,

Hata ukipata mafanikio baada ya kuachana nae,huna sababu ya kuanza kujionyesha kwake kua eti siku hizi mambo yako ni mazuri,huo ni udhaifu,wewe ishi maisha yako nae aishi maisha yake.
Una akili mingi buda
 
Umewaza katika angle ya mapenzi tu, lkn Kuna angle ya kuacha ibada wanasubir ukwame waseme ni Kwa sababu uliacha kwenda kanisani, nlikataaga kubatizwa Baba na mama wakasema sawa ni maamuzi yako🤣mtiti ukaja kwa pastor na waumini kazi yao ni kutrack majanga yanayonipata ili watumie kama mifano ya kukanya chipkizi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Afu alivyopita roho imeniuma kijuice changu nimekitupa kwaajiri ya mpuuzi mmoja
Wasiwasi wako tu ukute hata asingefikiria lolote!...😂
Yaonyesha bado unakapendapenda
 
Wasiwasi wako tu ukute hata asingefikiria lolote!...[emoji23]
Yaonyesha bado unakapendapenda

Sasa KENZY unacheka nini??

Mimi simpendi ila sipendi dharau kwann apite muda wa kunywa juice afu U-FRESH??
Mbona nikinywa Hennessy hajipitishi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom