Kuamini ukiachana na mpenzi wako atafikwa na baya ni ujinga!

Kuamini ukiachana na mpenzi wako atafikwa na baya ni ujinga!

Sasa KENZY unacheka nini??

Mimi simpendi ila sipendi dharau kwann apite muda wa kunywa juice afu U-FRESH??
Mbona nikinywa Hennessy hajipitishi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka unavyoweweseka na u fresh yako kama nakuona vile...😂
Hennessy Kuna watu wanaoshea tairi za magari...😅
 
Nacheka unavyoweweseka na u fresh yako kama nakuona vile...😂
Hennessy Kuna watu wanaoshea tairi za magari...😅
Atleast angenikuta na hennessy nivimbe sio U-Fresh yaani kanicheka hata sijapentraaa 😂😂😂
 
Atleast angenikuta na hennessy nivimbe sio U-Fresh yaani kanicheka hata sijapentraaa 😂😂😂
🤣🤣 Na kumbe alikuona pole yako next time kaa ndani kunywa u fresh yako!. Ila haipendezi kukucheka
 
[emoji1787][emoji1787] Na kumbe alikuona pole yako next time kaa ndani kunywa u fresh yako!. Ila haipendezi kukucheka

Ashukuru mawe yalikuwa mbali afu ananiambia eti, namba yako si ile ile ya m-pesa? Nakutumia ununue kibox kizima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi sjui Nina nini tu adi sijielewi yaani ikitokea Mtu tumegombana na kanikwaza hajaniomba msamaha au kuna sili tulilanga nae akaikiuka waga wanafariki nmeziki rafiki zangu wa4 tulio salitiana mwishoni
 
Back
Top Bottom