Kuamini ukiachana na mpenzi wako atafikwa na baya ni ujinga!

Hakuna hii kitu wewe acha kuishi kwa kukariri
Ujui kuhusu laws of nature laws of cause and effect,sema huwezi kumbuka yakikupata Nini asili ya Hicho kikukutacho
 
Sinaga huo muda wa kumfatilia x boyfriend tukiachana Huwa nakubali imeisha kilamtu Aishi maishayake
 
Hii kitu honestly tunayo wanaume.
Kiuhalisia hakuna mwanaume ambaye huwa anaanzisha mahusiano na mwanamke afu aje aachane nae .ila shida huja pale issues za kiuchumi zikija ambapo mwanamke huanza kujiweka mbali hivyo kumuacha mwanaume kisa pesa zimekauka.

Hii humpa mwanaume nguvu ya kupambana zaidi so na itokee mwanamke kamuacha mwanaume na kwenda kwa mwenye hela automatically hapo lazima umuombee mabaya tu afu siku akisikia au akiona mwanaume aliyemuacha basi mambo yamejipa ndo utaona mwanamke anataka kurudi.

Wanawake pesa zinatafutwa lakini mapenzi ya dhati ni adimu kutafutwa.
 
U Una akili mingi buda
 
Umewaza katika angle ya mapenzi tu, lkn Kuna angle ya kuacha ibada wanasubir ukwame waseme ni Kwa sababu uliacha kwenda kanisani, nlikataaga kubatizwa Baba na mama wakasema sawa ni maamuzi yako🤣mtiti ukaja kwa pastor na waumini kazi yao ni kutrack majanga yanayonipata ili watumie kama mifano ya kukanya chipkizi
 
Leo x wangu kapita, kanikuta nakunywa ki U-fresh nikakitupa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣 Utapata tabu sana
 
[emoji1787][emoji1787] Utapata tabu sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Afu alivyopita roho imeniuma kijuice changu nimekitupa kwaajiri ya mpuuzi mmoja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Afu alivyopita roho imeniuma kijuice changu nimekitupa kwaajiri ya mpuuzi mmoja
Wasiwasi wako tu ukute hata asingefikiria lolote!...😂
Yaonyesha bado unakapendapenda
 
Wasiwasi wako tu ukute hata asingefikiria lolote!...[emoji23]
Yaonyesha bado unakapendapenda

Sasa KENZY unacheka nini??

Mimi simpendi ila sipendi dharau kwann apite muda wa kunywa juice afu U-FRESH??
Mbona nikinywa Hennessy hajipitishi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…