Umedandia boti ya vibwengo mkuu😅😅😅😅Nauliza tu kwa nyie wanajamii wenzangu, hivi hii inasababishwa na nini asubuhi kuamka kwenda kazini yaani uvivu wa ajabu yaani
Wakuroge una nini mkuu. Mtu mwenyewe unaishi uswaz😂😂, hamia bomani.Je haina uhusiano na ndumba?
Wanakukanda ucku cha msingi piga dua sali kabla ya kulalaNdo nini mkuu?
Haina. Acha uvivu.Je haina uhusiano na ndumba?
Wew hujawah ona ,Sasa si wanatest mitambo kw jamaa 🤣🤣Wakuroge una nini mkuu...mtu mwenyewe unaishi uswaz😂😂......hamia bomani...
Asilimia kubwa wengi wao ni mambo safi....kurogwa husababishwa na wivu husda na chuki.Kwani waorogwa wote ni mambo safi?
Jua halimsubiri MVIVUNauliza tu kwa nyie wanajamii wenzangu, hivi hii inasababishwa na nini asubuhi kuamka kwenda kazini yaani uvivu wa ajabu yaani natamani kurudi kitandani nilale.
Kuna muda nilidhani labda nachelewa kulala maana huwa nalala saa sita usiku basi hata nikilala saa nne usiku bado nahisi sijalala vya kutosha.
NOTE: Siku hizi nakaa uswahilini, je inawezekana kwamba kuna ndumba zinafanyika?
Ukifika kazini ile hofu ya kumuona boss wako huwa inakuchangamsha bila kutaka.Uvivu gani huo mkuu,mbona nikifika job siwi hivyo
Mpaka ndoto zitimie ndiyo tutakuwa tunaamka mapema ili kuhesabu fedha zilizopatikana jana.Kawaida yetu masikini, tunapenda sana kulala