Basi acha kudekadeka.Usiku kuoga lazima.baada ya kukutana na mama chanja pale kati kwa bed lazima tutoe janaba so lazima nioge
Ukifanikiwa kuamka kitandani unahamia kulala kwenye kochi....masikini tuna tabu sana, bora hata tulivoruhusiwa kunywa mvinyo tusahau tabu zetu.Mpaka ndoto zitimie ndiyo tutakuwa tunaamka mapema ili kuhesabu fedha zilizopatikana jana.
Anaweka mswaki kwenye kiti halafu anawasha TeeVee kuangalia habari alizoziangalia jana usiku.Sijui agundue nini?Ukifanikiwa kuamka kitandani unahamia kulala kwenye kochi....masikini tuna tabu sana, bora hata tulivoruhusiwa kunywa mvinyo tusahau tabu zetu.
Sio wewe tu masikini karibia wote ndivyo tulivyo....Hahahah ni mimi huyu sasa
Pima kisukari.Je haina uhusiano na ndumba?
Mkuu ninafanya kazi sehemu amabayo wewe pia unaota kufanya kazi...Yaani kati ya ile 1% ya vijana wanaofanya kazi sehemu nzuri basi na mimi nipoukiona unakuwa mvivu basi kazi yako hailipi ,haikidhi mahitaji na usafiri wa private huna na kazi ni gumu na nyingi...ukiwa unapewa mshahara mzuri,kazi haina purukushani utaomba kukuche ukaonane na wenzio kazini...
Basi punguza kupiga puli.Nakaa kwangu na chumba nalipia kodi miezi sita hadi mwaka